Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa grarama msomi wa UDMS baada ya kuachana chadema Leo amekuja kukiuwa na kukizika jumla hapa Grarama katani na ujumbe umesambaa kakonko nzima sasa wananchi wanaondoa vibendela vyote na chadema ndio mwisho wake wilayana kakonko
Wanainchi wameeita zawadi ya sijui za mwisho wa mwaka
Onyo: ukifika kakonko usipanue vidole juu huku sasa ni ccm na maendeleo sio muda wa kudai demokrasia
USSRView attachment 1300666View attachment 1300667View attachment 1300669View attachment 1300670View attachment 1300671View attachment 1300672
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikia 'Paaa' ujue kwisha habari yake😂😂Kuna kamnyama kadogo dogo kana itwa Nguchiro umesha wahi kukaona?
Kamanda acha kuweweseka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] weka uzi mpya ulipwe elfu 7 kwa ajili ya sikukuu .
Kuna kamnyama kadogo dogo kana itwa Nguchiro umesha wahi kukaona?
Huyu alilipwa shilingi ngapi na CCM ili aunge mkono juhudi?
USSR ndio Elia Michael mwenyewe!
Too low for you dick sucker!
Haka hakana nafasi ya kubadili chochote. Traitors never take over a throne.
kabla hajahamia ccm huko kakonko hakukuwa na wanaccm wengine? mbona sioni wanaorudisha kadi za CHADEMA aidha naona watu wengi waneshika tama wanekata tamaa!
Kiukweli kabisa hiyo picha hafananii kuwepo hapo,Hana amani kabisa uso haudanganyi.kwanini yuko hivyo Mimi sijuiii.vijana tusipoteze heshima zetu na utu wetu kirahisi...kwenda ccm kijana unayejielewa kisa viahadi vya kupunguza ufukara wetu ni kuwapa ujumbe wananchi kuwa wakikupa nafasi kubwa zaidi hutawaacha Salama nao...utawasaliti tu
Jaa tupu huyu, amepewa ngapi na wanaccm? je sgr, ndege na dam zimewasaidia aje wana kokonko? wangapi hapo kokonko wanajua ndani ya ndege? tuache hii ujinga wengine wako nae, enda ukale hela ya ccm dogo
Ebu tuwekee na picha enzi akiwa Chadema tuone utofauti wa muonekano wake.Kiukweli kabisa hiyo picha hafananii kuwepo hapo,Hana amani kabisa uso haudanganyi.kwanini yuko hivyo Mimi sijuiii.vijana tusipoteze heshima zetu na utu wetu kirahisi...kwenda ccm kijana unayejielewa kisa viahadi vya kupunguza ufukara wetu ni kuwapa ujumbe wananchi kuwa wakikupa nafasi kubwa zaidi hutawaacha Salama nao...utawasaliti tu
Not at all. Nowhere it has been said. You have wrong interpretation.
Not at all. Nowhere it has been said. You have wrong interpretation.
People like Elia are and will never become assets whether in CCM or in any other parties. They are traducers, born to be that. They are many - in CCM and in opposition.
Comment ni yangu
I can do or write whatever I want
Why yall butt hurt?