Picha: Dr.Slaa ampokea Prof. Lipumba kiaina

sio siri leo cuf walifunika vibaya sana!
 
Anawaka yeye,chama kinakufa.

Endelea kuamini hivyo usijejikuta unakufa wewe chama kikabaki.CUF kufa si rahis kama unavyoota.Hayo ni mapito ya kisiasa ili chama kuwa imara.CHUMA ILI KIWE IMARA LAZIMA KIPITITIE KWENYE MOTO KIUNGUZWE NDO KIWE CHUMA.HAPA TULIPO TUPITA NA KUWA IMARA ZAID.TIME WILL TELL
 
Slaa alifikiri kaenda kupokewa yeye, akitokea Vatikan, alipostuka kumbe ni Professor ikabidi azuge.
 
Ndiyo raha ukiwa na PhD ya darasani na kusotea mwenyewe.
 
Said Miraj anayajua haya?? Angalieni kwa makini usijekushangaa prof naye anatimkia ADP...
 
Alikuwa anawasili toka Itali, doctor huyu ni muungwana sana. Bg up mheshimiwa
 
Dr Slaa alikuwa hana ulinzi wowote? nauliza tu maana nimeona ka mtu kama Topical hivi nyuma yake...!

Slaa ndugu yangu lakini urais ameenda kusiko...anastahili awasaidie wanakondoo period..
 
NRA, UMD, TLP . . . . . . . . . . bado zipo kwenye mapito sio? kwa taratibu za mila za zamani kiongozi wa kabila akifa huzikwa na mtu aliye hai, naona ushapumbazwa utaisindikiza imekufa mzikwe ukiwa hai, na atokee mtu akuokoe kifikra labda utashtuka.
 
Slaa ndugu yangu lakini urais ameenda kusiko...anastahili awasaidie wanakondoo period..

Acha uoga, a coward is a liar.
Kwa nia njema mzee mkubwa kawasabahi wafiwa waliokuwa wakihani msiba wa ile maiti yetu CUF tena iliyoanza kuoza.
 
NRA, UMD, TLP . . . . . . . . . . bado zipo kwenye mapito sio? kwa taratibu za mila za zamani kiongozi wa kabila akifa huzikwa na mtu aliye hai, naona ushapumbazwa utaisindikiza imekufa mzikwe ukiwa hai, na atokee mtu akuokoe kifikra labda utashtuka.

Keep on dreaming broda..

We are in government (zanzibar), we have MPs in both part of the union, no oppositon party in Tanzania has ever achieved that extent ..

utakufa wewe CUF itaendelea kunawiri
 
Acha uoga, a coward is a liar.
Kwa nia njema mzee mkubwa kawasabahi wafiwa waliokuwa wakihani msiba wa ile maiti yetu CUF tena iliyoanza kuoza.

Utakufa wewe, utaomba miungu wako lakini CUF itabaki inanawiri ..endelea kuota..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…