Picha: Dr Slaa akikwea pipa, sijui akielekea wapi?

Picha: Dr Slaa akikwea pipa, sijui akielekea wapi?

ndevu mzazi

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
687
Reaction score
238
Nimetumiwa picha na mdau zikimuonesha dr kwenye ndege leo image.jpg image.jpg image.jpg
 
Abaki Tanzania mumteke? Kwa usalama wake inabidi akakae Rwanda walau miezi miwili.
 
Duuh Mzee kalala mbele? Kweli yupo vizuri baada ya kuwezeshwa.
 
labda anaenda kujipongeza kwa kuyatoa ya moyoni.(kutoa hasira yake) ila sijui enaelekea mji/nchi gani. bye...bye siasa...
 
Abaki Tanzania mumteke? Kwa usalama wake inabidi akakae Rwanda walau miezi miwili.

Usalama wake vp?

Kafanya kosa gani?

Leo mnamuona wa maana.
Haijafanikiwa hiyo

Mtafuteni sasa MAKAIDI
 
Ni Yale yale ya yule Prof. Wamelamba Chao, Ila Watz Na Dhana ya Mabadiriko Nje ya CCM No Retreat No Surrender Hadi

Kieleweke.
 
haha... kusafiri ni haki ya mtu... na anasubiri mtu ajitokeze hadharani ili atoe zile silaha alizobakiza
 
kwani na prof.baada ya kuongea na wanahabari alikwea pipa kwenda wapi....vile?:juggle::A S-frusty2::flypig:
 
Hiyo mbona kama vile ni South African Airways. Labda anarudi mapumzikoni baada ya kazi ngumu.
 
katoliki alikimbia ccm mbio chadema mbio sasa aende kwenye sasa yy ataweza wapi? apunguze kazba kama walikosea wenzake awasamehe tusonge mbele
 
Back
Top Bottom