Bibie Josephine yuko wapi? Yasije kumkuta kama yale ya July 27 alivyorudi home saa 9 usiku!!!!!
Atakuwa anaenda Rwanda!
Kumbe watu wazima wanaweza kuendeshwa kama watoto?
Huyu mzee katutia aibu sana wanaume.
Hahahaaaaa poleni wanaume.Kumbe watu wazima wanaweza kuendeshwa kama watoto?
Huyu mzee katutia aibu sana wanaume.