Picha: Dr Slaa akikwea pipa, sijui akielekea wapi?

Wametumia mbinu zile zile hadi nimecheka.
hiki ni kituko sio hofu tena
 
Anatumia pesa za kodi za wakulima,walimu,wakina mama na baba ntilie,watumishi wa umma,makampuni binafsi,bodaboda,wavuvi,na wengine wengi alizopewa na ccm kama hongo ili azungumze uharo mbele ya waandishi wa habari hoteli ghali sana ya Serena.Tumemsikia,sisi tunasonga mbele,hakuna wa kuturudisha nyuma.Lowassa ndio tumaini letu!!AMINA
 
sijui familia ngapi zinazo shindia maharage na mihogo zinaweza kumudu gharama
za usafiri wa anga kama sio kufanyana watoto wadogo?

kiongozi mzima anayelipwa mshahara mnono anajisifu kwa umaskini tena haoni hata aibu kusema hata nyumba anayoishi alisaidiwa na mwanaume mwenzie ili hali amefanya kazi bungeni kwa miaka 10, alikuwa anapeleka wapi pesa zake?
yani siwezi kuongozwa na kionngozi ambaye ana umri wa miaka 60+ ameshindwa kuwa na mji wake kwa jasho lake tena alikuwa akipokea mshahara mnono

tujiulize wamarekani wanavyombembeleza bill gates kugombea urais nchini kwao, kiongozi kuwa maskini wa kutupwa ni aibu sana hata kwa waliomchagua sababu ameshindwa kujikwamua yeye mwenyewe atawezaje kuwa kwamua wengine

Unauthibitisho gan kama wamarekan wanambembeleza biligate. Eti anapeleka wap pesa zake mbona maswali ya kitoto
 
sijui familia ngapi zinazo shindia maharage na mihogo zinaweza kumudu gharama
za usafiri wa anga kama sio kufanyana watoto wadogo?

kiongozi mzima anayelipwa mshahara mnono anajisifu kwa umaskini tena haoni hata aibu kusema hata nyumba anayoishi alisaidiwa na mwanaume mwenzie ili hali amefanya kazi bungeni kwa miaka 10, alikuwa anapeleka wapi pesa zake?
yani siwezi kuongozwa na kionngozi ambaye ana umri wa miaka 60+ ameshindwa kuwa na mji wake kwa jasho lake tena alikuwa akipokea mshahara mnono

tujiulize wamarekani wanavyombembeleza bill gates kugombea urais nchini kwao, kiongozi kuwa maskini wa kutupwa ni aibu sana hata kwa waliomchagua sababu ameshindwa kujikwamua yeye mwenyewe atawezaje kuwa kwamua wengine
Sasa anza kukubali kuwa Mh. Mbowe ambaye wanadai alipata division zero ana akili kuwazidi wenye PhD na Prof kama sio kutokuwa na vyeti tu.
Ametwambia kuwa ni upuuzi mkubwa kuendelea kuamini kuwa eti umasikini ndio kigezo cha kuwa kiongozi mzuri huku wengi wanaojiita 'masikini' wakiwa na utajiri wa kutupwa!

Bibie Josephine yuko wapi? Yasije kumkuta kama yale ya July 27 alivyorudi home saa 9 usiku!!!!!
 
Anaharibu mageuzi hali CCM imeua.kila kitu nchini
 
sijui familia ngapi zinazo shindia maharage na mihogo zinaweza kumudu gharama
za usafiri wa anga kama sio kufanyana watoto wadogo?

kiongozi mzima anayelipwa mshahara mnono anajisifu kwa umaskini tena haoni hata aibu kusema hata nyumba anayoishi alisaidiwa na mwanaume mwenzie ili hali amefanya kazi bungeni kwa miaka 10, alikuwa anapeleka wapi pesa zake?
yani siwezi kuongozwa na kionngozi ambaye ana umri wa miaka 60+ ameshindwa kuwa na mji wake kwa jasho lake tena alikuwa akipokea mshahara mnono

tujiulize wamarekani wanavyombembeleza bill gates kugombea urais nchini kwao, kiongozi kuwa maskini wa kutupwa ni aibu sana hata kwa waliomchagua sababu ameshindwa kujikwamua yeye mwenyewe atawezaje kuwa kwamua wengine

siku hizi ndege sio anasa sana mkuu,,, mi nimeshapanda f..ast jet na waendesha boda boda wengi tu acha ushamba siku nyingine
 
Anaelekea ITALY!!! baada ya kukamilisha kazi ya ujira mkubwa.
 
kwani hajawahi kupanda ndege au anatumiaga baiskeli kwenda Arusha, Manyara-karatu?? au haruhusiwi kupanda ndege??
 
anaenda marekani kuish kwa mwaka mmoja! source mkutano wa chadema bunda! tar 2/9/2015
 
Bibie Josephine yuko wapi? Yasije kumkuta kama yale ya July 27 alivyorudi home saa 9 usiku!!!!!

Kumbe watu wazima wanaweza kuendeshwa kama watoto?
Huyu mzee katutia aibu sana wanaume.
 
Jamaa atakuwa kaondoka kwa mbinu za hali ya juu,Maana mpaka mchana Airport kulikuwa na watu wanamfuatilia lkn hakupita pale.pia nyumbani kwake hakuwepo na haieleweki yupo wapi,japo tayari alikuwa na tiketi ya ndege,muda aliotegemewa kuwepo Airport hakutokea
 
Back
Top Bottom