si umezoea viongozi wasiojiweza kazi yao kutengemea baraza la mawaziri kuongoza nchi,
sasa hili jembe linajua cha kufanya linazunguka lenyewe kuona kinachofanyika nchi nzima kwa maendeleo ya watanzania,
1,kuwapa sumu watu akishilikiana na apson
2,kuweka vipandikizi kwenye vyombo vya dora na kuvifanya kuonekana kama vyombo visivyokuwa na weredi wowote na akijua ni hatari kwa mstakabali wa taifa ,
hayu tu yanamfanya kukosa sifa,
nasubili nione baraza la mawaziri la magufuli namna litakavyokuwa linafanya kazi ,kwa uwezo wa kila mtu pasiko kuangalia ulinisaida sijui nin hakuna uchafu huo,