Umeona eeehWametisha ngangari
Macoster kutoka dar yatakuwa yamepanta pancha mahali.
Dar yenyewe ni sehemu maalum kama kule wanakomalizia hasira zao kwa church
Dar yenyewe ni sehemu maalum kama kule wanakomalizia hasira zao kwa church
Wamekwisha hao hata kabla game halijaanza. Labda bado wanasubiri coaster kama sita hivi zinaendelea kuokoteza wanachama wao toka maeneo mbalimbali ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara.