PICHA: CUF wakimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Daraja mbili

mkuu molemo tupe mrejesho wa mkutano wa uamsho arusha maana ulikuwa unatisha kwa wahudhuriaji.
 
Dah!!Kafuu?kwi kwi kwiiii hata kama ulitaka kukaa kimya lazima utaandika tu,aibu yenu uamsho.
 
Wameshindwa bu bu bu wataweza a town? Kama wametumwa na kulipwa then watadaiwa change
 
Macoster kutoka dar yatakuwa yamepanta pancha mahali.

propaganda nyingine bana kwani hapo kikao kimeanza ? uenda jamaa ndo kwanza wanaandaa mkutano mtu wa cdm kapita kapiga picha kapost humu,kazi kweli kweli
 
Haiwezekani..."Hao sio CUF ni Chadema..CUF kina wafuasi wengi sana Arusha. Lazima kuna mkono wa Chadema hapo"
 
propaganda nyingine bana kwani hapo kikao kimeanza ? uenda jamaa ndo kwanza wanaandaa mkutano mtu wa cdm kapita kapiga picha kapost humu,kazi kweli kweli
mtu
Kwanini asiwe mtu wa CCM? Kweli nimeamini CCM na CUF lao moja dhidi ya Chadema
 
ukitaka kumchinja binadamu mwenzako mpe haki yake muelekeze kibla, fanya dua kisha ndio umchinje. Sasa CUF ngangari yenye professor tena mchumi inafanya vituko inashindwa na mzee wa DISCO JOKA tena kidato cha nne Div IV. Eti chama cha upinzani. Nahisi kampeni meneja wa mgombea wa CUF ni dei waka tena conda wa viford. Anakua bize mno ndio maana wanakosa muda wa kujipanaga..
 
Arusha ina upungufu mkubwa sana wa Makabwela. Nashauri Kijenge Mwanama na Majengo ijengwe misikiti kwa fedha za MoU.
 
Back
Top Bottom