MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
Hakuna cha propaganda hapa. CCM hakuna propaganda ndiyo maana kulikuwa kuna matangazo ya television na radio.naona unaamua kupotosha ukweli kwa makusudi, mkuuu na akili zako zooote unatumika kwa sababu ya buku 7.. polesana....
Keep on dancing, CCM is on move...Bongo flavour concert versus mkutano wa kisiasa
Hakuna cha propaganda hapa. CCM hakuna propaganda ndiyo maana kulikuwa kuna matangazo ya television na radio.
CCM haihitaji wakina thomaso wa kwenye biblia.
hapa wanashangilia KINANA AU PLATNUM?
Hivi hawa jamaa hawezi kuitisha mkutano bila wasanii jamani mhm, wana hali ngumu sanahapo vipi?
kinana vs wananchi waliopewa buku buku za vocha!
kinana: ndugu wananchi tumewaletea wasanii wengi sana je CHADEMA wanaletaga?
wananchi:hawaletagi!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee
kinana: kidumu chama cha mapinduz
wananchi:kidumu chama tawala
kinana;ccm imewaleta marais wa china ,marekan, je CHADEMA wamemleta nani?
wananchi:hawajaleta yeyote!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee
kinana:ndugu wananchi rais ni handsome au sio handsome
wananchi:handsome!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee
Keep on dancing, CCM is on move...
kama kuna kitu kimenishangaza ni hicho, nadhani dialo ameogopa kumuumbua katibu mkuuStartv iliyoko pale Mwanza kwenye taarifa yake ya saa mbili usiku haijatangaza mkutano wa Chadema uliofanyika Mwanza,badala yake ikatangaza ule wa Morogoro wa Kinana na watoto wa shule za msingi!!! Diallo at work.
kinana vs wananchi waliopewa buku buku za vocha!
kinana: ndugu wananchi tumewaletea wasanii wengi sana je CHADEMA wanaletaga?
wananchi:hawaletagi!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee
kinana: kidumu chama cha mapinduz
wananchi:kidumu chama tawala
kinana;ccm imewaleta marais wa china ,marekan, je CHADEMA wamemleta nani?
wananchi:hawajaleta yeyote!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee
kinana:ndugu wananchi rais ni handsome au sio handsome
wananchi:handsome!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee