Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
hapo vipi?
Kwa mtazamo wangu huyo jamaa aliyevaa kata 'K' anatia aibu ile mbaya. Haya ndiyo maadili mabovu tunayoyapiga vita. Watoto wetu wanajifunza nini kama chama cha siasa kinaweza kuruhusu hili? Watoto wetu bila shaka wataona inakubalika.Kwani hii yote miwili ilikuwa mikutano ya siasa? maana naona mwingine kama ulikuwa mkutano wa siasa na lingine tamasha la wanamuziki.
Ukiangalia picha utakuta wazungumzaji wa upande mmoja wa wanaongea kitu kwa hisia na wasikilizaji wanaonyesha ni watu wazima wanaonekana kusikiriza na kushirikisha akili zao kwa yale yanayozungumzwa. wakati picha za kijani inaonekana watu watoamaada wakijaribu kuwafurahisha watoto ambao ni wahangwa watarajiwa