Picha: Chupi ya shemeji

sonaderm

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
618
Reaction score
1,817
Kuna kitu nilikuwa natafuta na kwa bahati mbaya ikanilazimu kuingia chumba cha shemela na alikuwa sebuleni..Nilichokiona ni siri ya nafsi yangu ila nikaona niwashirikishe..Shemela katupa kufuri lake na kwa bahati mbaya ni chafu hatari..Kwa ufupi shemela sio msafi kabisa na ni KE..Naanzaje kumwambia dada yake?Ushauri wanajamvi...

 
Chukua uinuse kama ni chafu alafu mpeleke ukiwa umeshika mkononi
 
Sasa boxa za broo wako sizitakiwa hazitamaniki kama wife ni mchaf hivyo
 
Mwambie shemeji kama usafi wake sio wa viwango na standards, asinunue white pichu tena.
 
hizi camera hizii? ipo siku tutakuta
papuchi ya mama mkwe
mavusi ya baba mkwe
boxer ya jirani
pedi ya dada nk!
 
Ingekua hauna sim ya kisasa yenye 360, ama ingekua jamii forums haipo, unge fanyaje?
Ebu tuanzie hapo kwanza....[emoji101]
 
Ingikua mimi ndio wewe, ningemfulia
 
Achana nayo, na habari yenyewe usingeileta JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…