Picha: Chukua chako mapema, Tanzania

Picha: Chukua chako mapema, Tanzania

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,930
Nembo.jpg mchoro by Samuel Mwamkinga A.K.A Jo'Une Sammy in 1990s'

Picha hii inaelezea kuhusu kuchukua chako mapema.
 
Hapo ndipo unapokubali kuwa (1960s) Mwalimu hakucheka na kima kama ilivyo ktk zama hizi za 2000s ambapo ikulu imekuwa pango la wanyang'anyi.
 
Hao wanaondoka na pembe huyu mwanaume atakuwa KINAANA, je mwanamke ni nani, Salma nini au....

Mkuu umepatia huyo jamaa ni mzee wa meno ya tembo aka kinana bariiiidii maana naona ana kipara nywele zimeanzia kichogoni.....huyo mama pia labda ni yeye!!!naunga mkono hoja yako mia kwa miaa !!!
 
Hakya mungu tena ni kinana .,..,,..alafu Huyo mama ni Mke Wa chemba la mwigu
 
Mama mbavu zangu... nimecheka mpaka nimepaliwa mkuu!

Na hizo comments ndiyo zimenimaliza kabisa...

Duh! kweli nchi yetu imemalizika kabisa, jembe na shoka vimewekwa chini, ngao inaungua, maandishi ya uhuru na umoja yamefutiliwa mbali huko... mzee wa tembo kabeba pembe yake anakimbia kivyake na mwenyekiti wa WAMA naye kabeba pembe ingine anakwenda kuihifadhi kwa ajili ya maslahi ya familia. Kweli, walichoshindwa kukiondoa hapo kwenye picha ni mlima Kilimanjaro tu, lakini ngao inavyoungua ikifika mwisho na mlima utawaka moto...

Chukua Chako Mapema...
 
Mkuu umepatia huyo jamaa ni mzee wa meno ya tembo aka kinana bariiiidii maana naona ana kipara nywele zimeanzia kichogoni.....huyo mama pia labda ni yeye!!!naunga mkono hoja yako mia kwa miaa !!!

Huyo mwanamke angekuwa mke wa Kinaana, Kinaana na huyo mwanamke wangeelekea uelekeo mmoja (yaani Hongkong). Kwa vyo vyote huyo atakuwa fest ledi....au vipi?
 
apo namwona mama thenki u vere mache na vuvuzela nape wanasepeka
 
Watanganyika mtaisoma namba mwaka huu japo kimyakimya.
 
Huyo mwanamke angekuwa mke wa Kinaana, Kinaana na huyo mwanamke wangeelekea uelekeo mmoja (yaani Hongkong). Kwa vyo vyote huyo atakuwa fest ledi....au vipi?
Sawa mkuu ni mama mwanaasha huyo!!!
 
Kwa kuwa Nnauye ni member najua kaenda
mtonya Kinana kuwa hali jf imechafuka.
Pembe na Meno hadharani.
 
Back
Top Bottom