Picha: Chukua chako mapema, Tanzania

Picha: Chukua chako mapema, Tanzania

Mama mbavu zangu... nimecheka mpaka nimepaliwa mkuu!

Na hizo comments ndiyo zimenimaliza kabisa...

Duh! kweli nchi yetu imemalizika kabisa, jembe na shoka vimewekwa chini, ngao inaungua, maandishi ya uhuru na umoja yamefutiliwa mbali huko... mzee wa tembo kabeba pembe yake anakimbia kivyake na mwenyekiti wa WAMA naye kabeba pembe ingine anakwenda kuihifadhi kwa ajili ya maslahi ya familia. Kweli, walichoshindwa kukiondoa hapo kwenye picha ni mlima Kilimanjaro tu, lakini ngao inavyoungua ikifika mwisho na mlima utawaka moto...

Chukua Chako Mapema...

mkuu hapo kwenye red jembe na shoka vimetumika kuwaua tembo badala ya kazi yake halisi ya shambani
 
Kwi kwi kwi. Nacheka kwa uchungu maana haya ndio uhalisia wa maisha ya tz leo, yaan JK kauza Ntwara hadi Bmoyo, BEN kauza mashirika yote, Mwinyi alipga mnada Loliondo. Pinda kauza Katavu. Kila mmoja kivyake
 
nimeipenda sana....inaonyesha jinsi uzalendo wanaoupigia chapuo kilasiku akina mwigulu.
alafu unakuta mtu anasema sisiemu idumu,kunamijitu inatembea ilihali imeshakufa.
kinana huyo na mama wa magogoni,siunaona wanae wanavyopiga dili na walivyo na utajiri uliokubuhu,..! ukiuliza anafanya shughuli gani mpaka anakua na hela nyingi kiasi hicho jibu hakuna.
kumbe mama anafanya mambo yake
 
SAY NO TO.gif
Naunga mkono hoja. Naomba kuwakilisha.
 
KAMATA.gif
Taifa linatoa tangazo la kuchorwa upya kwa nembo ya Taifa baada ya ile ya awali kukosa baadhi ya viwakilishi kama mali asili kwa Taifa letu kutokana na kuibiwa kwa pembe za ndovu zilizokuwemo kwenye nembo ya awali
 
Hao wanaondoka na pembe huyu mwanaume atakuwa KINAANA, je mwanamke ni nani, Salma nini au....


mamamam.gif
Anaekimbia na pembe huyu hapa akiwa katika pozi baada ya kukwapua. Duh anatoka baru mbaya kabisa. Chezea pembe weye!!!!!!!
 
Walikaa toka mwaka wa 1960 ilipofika mwaka 2000 wakaona cha kuapata ugonjwa wa ngiri ukiwa juu ya theluji ya mlima Kilimanjaro ni nini wakaamua kila mmoja kubeba kile wanachoona kina thamani kwao. Mzee wa "TUSKER" bariiiiiiidi akalaza kushoto wakati mama wa "MTOTO WA MWENZIO NI WA KWAKO" akalaza kulia kama vile anasukuma mlevi, kilaiiiiiini kabisa
 
Tazama picha katika attachment inayoonyesha image ya rasimu ya katiba mpya then comment
 

Attachments

  • 2013-06-11 07.24.57.jpg
    2013-06-11 07.24.57.jpg
    23.7 KB · Views: 121
View attachment 97035
Taifa linatoa tangazo la kuchorwa upya kwa nembo ya Taifa baada ya ile ya awali kukosa baadhi ya viwakilishi kama mali asili kwa Taifa letu kutokana na kuibiwa kwa pembe za ndovu zilizokuwemo kwenye nembo ya awali

Ha ha haaaa...Hilo "PARA" la "SHIFTER" kwenye nembo nooma
 
wao wangechukua bahari na mafuta mbona sasa wanachukua Tembo tena?
 
Hata mlima tukicheza wanaweza kuondoka nao. Si mnakumbuka hata faru George kule ngorongoro walimkinana
 
Ha ha ha ha Katibu mkuu wa Magamba ananifurahisha kweli......
 
....ayaaaaa !! "weka mbali na tembo" kaingia mpaka kwenye nembo...???
 
Back
Top Bottom