Picha: Chukua chako mapema, Tanzania

Picha: Chukua chako mapema, Tanzania

Nadhani hata huo mlima k'njaro MWANA KIPENZI RIZ A.K.A Mzee wa milori a.k.a mzee wa petrol stn. a.k.a mzee wa mijengo ukitaka bingwa wa dili chafu anaulia timing bado hajaupatia soko
 
Sikutaka log-in kwa sasa, ila umenilazimisha kwa hii picha. Kaka, ina ujumbe mzuri mno, I wish hata wale walio nje ya JF waione, wangepata ujumbe huu mzuri.

  • kwa macho yangu kwenye picha naona:-
miaka ya 2000-
  1. hao watu wanachukua pembe za ndovu kila moja ya kwake (chukua chako)..knn n.k
  2. shoka na jembe vimeachwa vikidondoka chini - maana yake hakuna kufanya kazi tena we chukua kinachoonekana ondoka.
  3. Utepe wa uhuru na umoja umeshavurugika kabisa na maandishi yamefutika kabisa hayana maana kwa sasa ikiunga mkono umoja uliovunjika hapo juu kila mmoja kivyake, nachukua vyote mliobaki mtajijua (uhuru ........)
  4. Mwenge umeachwa kulipuka- ndio unaoiua Tanzania, tunaiua - inaungua hakuna anayeijali - mikataba, EPA, RICH
edit, think more...
View attachment 96928mchoro by Samuel Mwamkinga A.K.A Jo'Une Sammy in 1990s'




Picha hii inaelezea kuhusu kuchukua chako mapema.[/QUOTE]
asante kwa picha
 
Ha ha ha haaaa mimi ngoja niwahi hilo shoka nikawasubirie airport!
 
Huyo mama kidogo kajaaliwa. Mashaallah! Kina mama nao hawako nyuma kuchukua chao mapema.
 
Saáfi sana ubinifu huu nomeupenda ebu mkuu buni jingine la maendeleo tusonge mbele
 
hapo muungano umevunjika mkuu, afu huyo kama yule jangili msomali na mke wake.
 
Mimi sitaacha JF yaani sijui kitokee kitu gani, yaani hii picha ni picha yangu ya mwaka tokea nijiunge na JF

hii picha safi sana! wapi wachoraji waichoreee kwa ukubwa mzuri na kuitia kwenye fremu maridadi hawatalala njaa zitanunuliwa sana.
 
Back
Top Bottom