Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,252
- 18,448
ndiyo hiyo hiyo ila haya ni maeneo ya vivjijini
Hebu tuwekee ya mjini tuone
ndiyo hiyo hiyo ila haya ni maeneo ya vivjijini
madarasa ya shule yako mbali sana?
Unazungumzia shule zipi mkuu? Za pwani? Labda Unamaanisha za kilimanjaro dar au mwz na ar? Wewe ukiambiwa ukae kwenye hii shule hata kwa masaa mawili utakubali?
Hebu tuwekee ya mjini tuone
madarasa ya shule yako mbali sana?
Nasubiria Matrecta tuliyoahidiwa
Really!!!? Au hasira za kulikosa jimbondo maana akili za watu wa chalinze ni kama kibanda hiki
Hii si shule? Na chini ni nyumba ya mwenyekiti wa mtaa.
Nasubiria Matrecta tuliyoahidiwa
Wakwere walime?bao watacheza saa ngapi
Nimekuta picha hii, nikashangaa!
Ni chalinze hii iliyopo kilomita chache kutoka Dar au nyingine?
Hayo matrekta alianza kuahidi baba mtu kwanza, enzi hizo akiwa mbunge. Mpaka sasa amekuwa rais bado hayajanunuliwa. Huenda wewe unasubiri meli airport, kama sisi wengine tunaosubiri Tanzania yenye asali na maziwa!