PICHA: CHADEMA walivyoisambaratisha Ngome ya Magufuli CHATO

za kwetu siku ile jangwani zilikua mpya kabisa na hazina majina je hizi za magamba tumeprint wakati zinaonesha zilivyo na umri! ?
 
Yeah, nimeona hapa Dk. Benedictor
LECTURER, HEAD-DPT OF ACCOUNTING AND FINANCE at Mzumbe University - Tanzania

Nashukuru kwa Dr Lukanima kujiunga na Chadema lkn as far as i know hawezi kuwa kipenzi cha watu wa Chato politically.Personally Dr Lukanima hana tatizo na ni msomi mzuri lakini historia ya baba yake Chato sio nzuri lazima tu itamcost mwanae.Baba yake Mzee Lukanima aliwahi kuwa Meneja wa Biharamulo Cooperative Union (BCU) hapo Chato alilewa madaraka na kugawa kazi kiupendeleo.Alitoa watu Ukerewe na Musoma vijijini ndunguze na kuwapa ajira Chato kiwandani huku wazawa wakiwa hawana ajira.Mama yake pia (Mama mdogo) ambaye ndiye mlezi wake mpaka sasa alikuwa Diwani wa CCM 2005-2010 hakuna alichofanya tofauti na dharau na matusi kwa watu.Bado Chato wanamlilia kijana wao Vedastus Arobogast aliyegombea Ubunge 2010 kupitia Chadema na kumtikisa Magufuli vilivyo.
 
Vedastus Arobogast, Mkuu tunaomba utumwagie detail zaidi huyu kipenzi cha wana CHATO. Hope ataendelea kupambana!!
 
Nakutakia kila la kheri Lukanima, najua una dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi wa Chato, nakuunga mkono bila kujali itikadi, najua kuwa umekuwa ukiuumwa sana na umasikini wa watu wa chato ilhali wana rasimali nyingi ambazo wanaweza ku-mobilise wao wenyewe na kuondoa baadhi ya matatizo kama shida ya maji.
 
Angalieni Jamani passport sio kadi ya CCM.

CHADEMA+CHATO+7.jpg

buriani magamba
 
Kweli sasa ndio naanza kuamini kuwa CDM wanachukua OIL CHAFU YA CCM. hive CDM mnamjua Lukanima ? huyu jamaa ni kimeo, tapeli, fisadi wa hali ya juu. Nakumbuka wakati alikuwa Rais wa serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu cha mzumbe (wakati huo IDM mzumbe) huyu jamaa alifuja hela za serikali ya wanafunzi , na hakuwa na cha maana alichofanya kwenye uongozi wake, alikuwa akishirikia na mkuu wa chuo wa wakati huo Dr Warioba, kudhulumu hata pesa za wanafunzi za mikopo kwa kuwapa kiasi sicho na kile kilichotolewa na serikali. Huyu sasa CDM kweli ndio mtasema mmepata mtu ? kuweni makini sana na hawa watu wa aina hii
Mbona hukuwahi kuyasema yote haya alipokuwa CCM? Unless you are an idiot, you cannot stand for Mabwepande Party!
 
Kweli sasa ndio naanza kuamini kuwa CDM wanachukua OIL CHAFU YA CCM. hive CDM mnamjua Lukanima ? huyu jamaa ni kimeo, tapeli, fisadi wa hali ya juu. Nakumbuka wakati alikuwa Rais wa serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu cha mzumbe (wakati huo IDM mzumbe) huyu jamaa alifuja hela za serikali ya wanafunzi , na hakuwa na cha maana alichofanya kwenye uongozi wake, alikuwa akishirikia na mkuu wa chuo wa wakati huo Dr Warioba, kudhulumu hata pesa za wanafunzi za mikopo kwa kuwapa kiasi sicho na kile kilichotolewa na serikali. Huyu sasa CDM kweli ndio mtasema mmepata mtu ? kuweni makini sana na hawa watu wa aina hii

Acha majungu, leta uthibitisho wa hayo madai yako, au ujivua gamba na wewe, tunahitaji constructive criticism siyo majungu.
 
Ajabu ehh.. hiki chama nasikia nicha kaskazini sasa hawa watu wa chato inakuwaje?? Au ndio zile propaganda za magamba?? Ama kweli mwenye macho haambiwi tazama..
 
quote_icon.png
By Dumela Mbegu

Kweli sasa ndio naanza kuamini kuwa CDM wanachukua OIL CHAFU YA CCM. hive CDM mnamjua Lukanima ? huyu jamaa ni kimeo, tapeli, fisadi wa hali ya juu. Nakumbuka wakati alikuwa Rais wa serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu cha mzumbe (wakati huo IDM mzumbe) huyu jamaa alifuja hela za serikali ya wanafunzi , na hakuwa na cha maana alichofanya kwenye uongozi wake, alikuwa akishirikia na mkuu wa chuo wa wakati huo Dr Warioba, kudhulumu hata pesa za wanafunzi za mikopo kwa kuwapa kiasi sicho na kile kilichotolewa na serikali. Huyu sasa CDM kweli ndio mtasema mmepata mtu ? kuweni makini sana na hawa watu wa aina hii
Kumbe Dumela Mbegu umepita mzumbe halafu bado upofu haujatoka?? wewe hata kiama ije sitarajii kuona ukifunga.. kalagabaho..
 
Nao lazima wakaige hiyo baada ya mbinu za Dr ulimboka, mwigulu chemba kushindwa.
 
i have a dream one day magufuli will wearing a gwanda ,i hope people from chato will trust him 100%,i had a dream whereby ccm will break into many pieces and left back with owner zaramo people
 
i have a dream one day magufuli will wearing a gwanda ,i hope people from chato will trust him 100%,i had a dream whereby ccm will break into many pieces .
 
Back
Top Bottom