PICHA: CHADEMA walivyoisambaratisha Ngome ya Magufuli CHATO

Code:
[B]"Wakati umefika sasa wananchi wa Chato kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014 na uchaguzi mkuu 2015, pigeni kura za hasira baina ya CCM na huyu Magufuli, kisha kuwachagua viongozi wa CHADEMA kwa maendeleo yenu," alisema Lwakatare.[/B]

imetulia sana hiyo Baba Lwakatare, lazima yule wa kukariri kilometa na madaraja mabovu aishie
 
Mkuu, Hiyo ni kadi ya UVCCM inayoongoza na Mwana Kishapu mwenzio Shigela!
Ebana huyu jamaa wa kishapu kumbe! ananiangusha sana, jimbo wanampa mwarabu aendeleze biashara zake nakuacha wananchi wanapigwa bei za pamba kiwizi wizi!!
 
Vipi kuhusu Dk. Benedictor , ni daktari wa philosophy au binadamu? Na vipi kuhusu CV yake hapo CHATO anaweza kutufanyia mageuzi mkuu?
Na dulu za siasa zinasemaje hapo kuhusu mchakato wa chaguzi za serikali za mitaa na vijiji pamoja na viongozi ndani ya nyama vyote kwa ujumla?
Ni mtaalamu wa Financial Management na anafundisha na kufanya utafiti katika nyanja hizo Mzumbe University. He is a smart academic as far as I know him. Atasaidia mawazo katika Strategic Level katika chama.
 
Kadi yangu ya CHADEMA nilipewa hapo nikiwa kidato cha tano na kamanda Mbowe.. Najua wengi watabadilika siku si nyingi.. M4C Lwakatale enkangabuye ni nooma,wasiomjua wamuulize mkapa anamjua vizuri..
 
Hivi hizo kadi za CCM zinazorudishwa si wanazichoma moto? Hazina maana kabisa

Hawazichomi moto mkuu. Zina circulate, yaani baada ya hapo zinagawiwa tena kwa watu ili wakazirudishe kwenye kikao kingine. Chezea siasa wewe
 
Gud Gud Lukanima najua ulinifundisha Accounts na Finance pale Mzumbeni,uko vizuri na utafanikiwa for real.
 
Kweli sasa ndio naanza kuamini kuwa CDM wanachukua OIL CHAFU YA CCM. hive CDM mnamjua Lukanima ? huyu jamaa ni kimeo, tapeli, fisadi wa hali ya juu. Nakumbuka wakati alikuwa Rais wa serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu cha mzumbe (wakati huo IDM mzumbe) huyu jamaa alifuja hela za serikali ya wanafunzi , na hakuwa na cha maana alichofanya kwenye uongozi wake, alikuwa akishirikia na mkuu wa chuo wa wakati huo Dr Warioba, kudhulumu hata pesa za wanafunzi za mikopo kwa kuwapa kiasi sicho na kile kilichotolewa na serikali. Huyu sasa CDM kweli ndio mtasema mmepata mtu ? kuweni makini sana na hawa watu wa aina hii
 
Hawa Jamaa wangekuwa wanaruhusiwa kuwa wanachama nadhani angerudisha kadi ya CCM huyu KAMANDA.
CHADEMA+CHATO+9.jpg
 
[h=6]Ifike mahali tuwe wakweli kuwa siasa za kuzungumza kutokana na upepo na kusahau kwa lengo la kuwazuga watanzania hazina maana.

ukipita maduka ya kkoo utakutana na DVD YA DK SLAA ILIYOTENGENEZWA NA AFRICA MEDIA ikionyesha hotuba za kampeni mwaka 2010
PAMOJA NA KUHAIDI MENGI KWA WATZ DK SLAA ANASEMA

...See More
[/h]
 
[h=6]Ifike mahali tuwe wakweli kuwa siasa za kuzungumza kutokana na upepo na kusahau kwa lengo la kuwazuga watanzania hazina maana.

ukipita maduka ya kkoo utakutana na DVD YA DK SLAA ILIYOTENGENEZWA NA AFRICA MEDIA ikionyesha hotuba za kampeni mwaka 2010
PAMOJA NA KUHAIDI MENGI KWA WATZ DK SLAA ANASEMA

" mimi dk slaa sitembelea gari shangingi na ata nikiwa rais land cruiser ya mkonga inanitosha,siwezi kutembelea gari ya kifahari wakati wananchi wangu hawana dawa"
NAVUTA PICHA JUZI NILIPOSIKILIZA CLOUDS TV AKISEMA

" hatutakubali kuitwa na wala kuhojiwa na polisi kama walivyotangaza kututaka twende kwa mahojiano"
nikiona mgogoro wa ndoa yake .

NAJIULIZA HIVI DK SLAA ANAJUA UKUBWA WA KAZI YA RAIS? (anajua maana ya mahojiano?) eti nilienda kuhojiana nao kuwa kwanza wanipe taarifa za vinasa sauti vya dodoma!!!!?
[/h]
 
Ni mtaalamu wa Financial Management na anafundisha na kufanya utafiti katika nyanja hizo Mzumbe University. He is a smart academic as far as I know him. Atasaidia mawazo katika Strategic Level katika chama.
Yeah, nimeona hapa Dk. Benedictor
LECTURER, HEAD-DPT OF ACCOUNTING AND FINANCE at Mzumbe University - Tanzania
 
Haaa haaa haaa this is politics bana just doing the same things as the other political parties are doing to persuade the community,nyenzake na nyenzie
 
Back
Top Bottom