mzuka! Cdm jembe la ukweli!
tuna ukubali moto wa chadema na asante kwa kutupa update information is power. Tunaamini chadema ni mkombozi wa haya yafutayo
1. Kwa kasi ya chadema -katiba mpya -must
2. Kwa kasi ya chadema vita ya ufisadi itakua na kuwaadibisha mafisadi
3. Kwa kasi ya chadema uoga wa kuhoji utapungua,
4. Kwa kasi ya chadema tutahimiza makazi bora
5. Kwa kasi ya chadema uongozi uchwala utang'oka
6. Kwa kasi ya chadema afya bora itapatikana
7. Kwa kasi ya chadema mikopo elimu ya juu itakuwa ya wachuo wote
8.kw kasi ya chdema kilimo kitakuwa chenye tija
10. Kwa kasi ya chadema kima cha chini 400,000/=
11. Kwa kasi ya chadema mifuko ya jamii kuwatumikia wanachama sio mafisadi
12. Kwa kasi ya chadema uhuru na amani ya kweli vitapatikana.