PICHA: CHADEMA mnatia aibu headed paper yenu kiasi cha kukosa mvuto

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Nashindwa kuelewa.

Headed paper ya CHADEMA ipo simple sana , ya kawaida na ya kishamba sana.

CHADEMA ni chama kikubwa sana.Ni taasisi yenye pesa nyingi. Mnashindwa kudesign headed paper ya maana ambayo ina mvuto kwa wasomaji na wapenzi wa chama chenu?

Mtaani kuna taasisi za kawaida sana lakini unavutiwa na barua zao.

Why not you ?
IMG_20200215_183337.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada uzuri kwa mantiki ya hoja yako ni nini hapo? Kwamba wote tutapenda unachokipenda wewe!

Umepimaje na kwa unit gani?

Uzito ni gram au Kilogram

Urefu ni mm au meter su kilometer

Muda ni sekunde, dakika AMA saa

Je uzuri au ubora unaoongelea umepimaje au benchmark mark yako ni nini?
 
Ndiyo tatizo lenu hamtaki kushauriwa mnajifanya mnajua kila kitu.

Hivi umeona ushauri wa aina yoyote kwenye bandiko kuu? Ninaona kuponda tu kuwa ya kishamba nk. Mimi sijui kundi lenye ufahamu wa aina yako litaisha lini ili tusonge mbele!!

Hivi kweli headed paper nayo ni issue ya kuzungumzia katika nchi ambayo ajira hazikui, kilimo hakikui, elimu duni inayozalisha aina yako na kadhalika?

Bro, you have stooped too low!
 
Kama hamtaki kushauriwa na kubadilika dunia itawabadilisha.

Hebu jibu hoja acha kufanya mambo yasiyo eleweka

Smartness kwa ujingaujinga upi? Nini ambacho sio smart nakwa measurement zipi?

Where is you're references
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom