Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 11,657
- 8,591
Ukiacha hiyo Headed Paper iliyo juu, kingine ni Ofisi Kuu ya Chadema. Ni aibu tupu!Smartness kwa ujingaujinga? Nini ambacho sio smart nakwa measurement zipi?
Where is you're references
Ukiacha hiyo Headed Paper iliyo juu, kingine ni Ofisi Kuu ya Chadema. Ni aibu tupu!Smartness kwa ujingaujinga? Nini ambacho sio smart nakwa measurement zipi?
Where is you're references
Nashindwa kuelewa.
Headed paper ya CHADEMA ipo simple sana , ya kawaida na ya kishamba sana.
CHADEMA ni chama kikubwa sana.Ni taasisi yenye pesa nyingi. Mnashindwa kudesign headed paper ya maana ambayo ina mvuto kwa wasomaji na wapenzi wa chama chenu?
Mtaani kuna taasisi za kawaida sana lakini unavutiwa na barua zao.
Why not you ?View attachment 1358703
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo rahisi sana. Anzisha chama chako, kisha tengeneza headed paper unayoipenda wewe. Vinginevyo unatoa pumba tu hapa. Wewe ni nani hadi unachokitaka wewe kikubalike?Hilo ndiyo tatizo lenu, msipo badilika dunia itawabadilisha.