Katika hali ya kushangaza jana katika mkutano wa CCM wa kutoa taarfa wa utekelezaji wa ilani ya CCM kwa wananchi ulioandaliwa na uongozi wa CCM wilaya ya Kibaha Vijijini uliofanyika viwanja vya stend ya Mzenga ambao wananchi waliususia na kuwalazimu Mwenyekiti wa CCM wilaya hiyo na katibu wake na katibu wao Mwenezi kuingia mitini.
Attachments
-
Hapa viongozi wa ccm wa wilaya ya Kibaha Vijijini wakiendelea na Mkutano bila ya kuwa na wasikil.JPG19 KB · Views: 3,368
-
Hapa wanaonekana viongozi wa ccm wakiwa katika eneo la mkutano wao wakijadiliana kama waendelee .JPG13.6 KB · Views: 2,918
-
Hii sasa noma ndivyo wanavyoonekana kusema viongpozi hawa wa ccm Kibaha baada ya kukosa wasikili.JPG13.7 KB · Views: 3,019
-
Kama unavyoona pichani uwanja upo tupu na viongozi wa ccm wameamua kusakata rhumba uwanjani hapo.JPG12.8 KB · Views: 3,054
-
Vioongozi wa ccm wakiwa jukwaani bila ya wasikilizaji baada ya wananchi kususia mkutano wao kati.JPG13.2 KB · Views: 2,993