Picha: CCM wapata mgombea Arusha Mjini kabla ya kipenga cha NEC

Picha: CCM wapata mgombea Arusha Mjini kabla ya kipenga cha NEC

Status
Not open for further replies.
Chochote kitakacholetwa na lowassa kitashindwa kwani lowassa amewekewa chuki kubwa sana ya kisiasa na wana arusha, hasa baada ya hii kesi........ Which is an immediate follow-up to the siyoi saga

hate and rage ni kitu kibaya sana, kwani yaweza hata kupoteza kiongozi mzuri tu kwa jinsi anavyojiweka mbele ya watu

at the moment lowassa is seen as forcing his agenda, and this may not work for him
 
Huyu ndie mgombea wa CCM wa ubunge jimbo la Arusha. Anaitwa Namelok Edward Sokoine. Kwa mtaji huu, Lowassa camp vitani tena kumnadi!View attachment 51094


USHAURI WA BURE KWA NAMELOCK SOKOINE

Nenda pale Monduli,fika ofisi ya CDM na upewe full fashion ya CDM na umshushe huyu fisadi EL mwaka 2015 jimbo la Monduli mwaka 2015 hapa A town we utakuja kupoteza wakati tu!
 
kama ni huyu bora wamsimamishe man dojo au domu kaya tunawakumbuka kwa nyimbo zao.huyo atasusha heshima ya baba yake kwa tamaa zake asitegemee 2 mara mbili ni sita hata siku moja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom