uwiiiiiiii!!!!! Maskini sijui wanasomaje hawa watoto. Sasa mvua ikinyesha si hatari, ndio maana naibu katoa machozi maana inasikitisha mno.
Mie naona JF ichukue shule kabisa, uwe mtaji wa Jf. Nadhani wanachama watakuwa tayari kuchangia....acheni story nyingi,malalamiko na kujifanya mnashangaa sana hali hiyo,sasa mnaonaje tufanye fundraising kwa kutumia hii jamiiforum kujenga hilo bweni?
Machozi ya uchaguzi 2010 hayo... alisoma hapo hapo... Zingibari Primary School Primary Education 1962-1966 CERTIFICATE
Source: Parliament of Tanzania
...acheni story nyingi,malalamiko na kujifanya mnashangaa sana hali hiyo,sasa mnaonaje tufanye fundraising kwa kutumia hii jamiiforum kujenga hilo bweni?
...acheni story nyingi,malalamiko na kujifanya mnashangaa sana hali hiyo,sasa mnaonaje tufanye fundraising kwa kutumia hii jamiiforum kujenga hilo bweni?
Jamani!!!!.... Huyo mama analia unafiki mtupu!! Hilo alilijua siku nyingi ni vile tu anajaribu kutafuta kura 2010.
Fundraising mkuu hapana bana, tuna historia mbaya hapa kijiweni Mzee Mwanakijiji analijua hilo mpaka leo hajatoa hesabu ya ule mshiko wa vijana wetu wa Ukraine. Na haya mambo ya credit crunch ndio kabisa ufisadi siku hizi kila mahala
Bweni lenyewe hili hapa. Inasikitisha sana.