ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,007
kwani hujawahi sikia kuwa tatizo sio mtu bali ni mfumo? lowasa ni kiongozi shupavu ila mfumo alioutumikia ndio mbovu
Mtu akishasilimishwa yale makandokando yote yanamtoka anakua kiumbe safi wa mwenyezi-Mungu na muda wote anaongea KWELI tupu yale mauongouongo anayatupa kule.
Ndio kilichomtokea Muheshimiwa Rais wa Jamuhuri Muheshimiwa Edward Lowassa.
Ha ha ha kinyonga.Anabadili rangi kutegemea na alipo.
Kuna picha ingine sijui nani aweza kuchora.Ile inayoonyesha viongozi wa CHADEMA wakisema LOWASA fisadi halafu wanachadema wanashangilia halafu baadaye kidogo viongozi walelewale wanarudi wanasema Lowasa SI FISADI.Halafu tena wanachadema wale wale wanashangilia hadi wanachanganyikiwa.
Wanachadema nao vinyonga