Picha bora ya UCHAGUZI 2015

Picha bora ya UCHAGUZI 2015

Acha chuki, watanzania wanataka mabadiliko.
 
View attachment 277277

kama kuna picha bora zaidi ya hii iletwe.....

Ha ha ha kinyonga.Anabadili rangi kutegemea na alipo.

Kuna picha ingine sijui nani aweza kuchora.Ile inayoonyesha viongozi wa CHADEMA wakisema LOWASA fisadi halafu wanachadema wanashangilia halafu baadaye kidogo viongozi walelewale wanarudi wanasema Lowasa SI FISADI.Halafu tena wanachadema wale wale wanashangilia hadi wanachanganyikiwa.
Wanachadema nao vinyonga
 
Naona maccm yanayafanya kila yawezalo kutubadilisha tumuone lowasa sio.
Wakati tumeshachoka nao hawajui kama hata ukawa waweke jiwe tutamchagua tuu.
 
View attachment 277277

kama kuna picha bora zaidi ya hii iletwe.....
Mtu akishasilimishwa yale makandokando yote yanamtoka anakua kiumbe safi wa mwenyezi-Mungu na muda wote anaongea KWELI tupu yale mauongouongo anayatupa kule.

Ndio kilichomtokea Muheshimiwa Rais wa Jamuhuri Muheshimiwa Edward Lowassa.
 
View attachment 277277

kama kuna picha bora zaidi ya hii iletwe.....

1439799539849.jpg
 
Mtu akishasilimishwa yale makandokando yote yanamtoka anakua kiumbe safi wa mwenyezi-Mungu na muda wote anaongea KWELI tupu yale mauongouongo anayatupa kule.

Ndio kilichomtokea Muheshimiwa Rais wa Jamuhuri Muheshimiwa Edward Lowassa.

ur a great thnker bro
 
Mtoa maada watu wamelishwa unga wa ndele hawatakuelewa kabisa hapo.

Wao wanaamini kuwa simba akihamishwa kutoka mikumi kwenda ngorongoro ataacha kula nyama.

Ofisi ya uraisi ni nafasi na taasisi kubwa yenye heshima yake..mtu kigeugeu na asiyeweza kusimamia anayoamini, pamoja na kauli zake, hasiye na principles bali anabadilisha mtazamo na imani yake kulingana na maslahi na mazingira aliko KAMWE HAFAUI KUWA KIONGOZI, NA ESPECIALLY KIONGOZI WA JUU KAMA RAISI.
Rais lazima uwe na mtazamo wako, principles zako, na imani yako ambavyo ukishaweka wazi lazima husimamie kwa gharama yoyote, na usimamie kauli zako. huo ndio uongozi.
Ndio maana nasema tena kwa dhati kabisa, Lowasa sio kiongozi, ni opportunist ambaye anabadilika kulingana na maslahi yake yalipo. Tanzania ni taifa kubwa na lenye historia na heshima kubwa and we DESERVE A LOT BETTER in a leader THAN LOWASA.
 
Ha ha ha kinyonga.Anabadili rangi kutegemea na alipo.

Kuna picha ingine sijui nani aweza kuchora.Ile inayoonyesha viongozi wa CHADEMA wakisema LOWASA fisadi halafu wanachadema wanashangilia halafu baadaye kidogo viongozi walelewale wanarudi wanasema Lowasa SI FISADI.Halafu tena wanachadema wale wale wanashangilia hadi wanachanganyikiwa.
Wanachadema nao vinyonga

Usikonde mkuu inaitwa SIASA. Ukistaajabu ya Lowassa utaona ya Magufuli!
 
Daah hiyo picha ya Mtila na ma elfu ya wakazi wa Dar ndo imenifurahisha kupita zote leo!
 
Back
Top Bottom