Like friend like neighborBombardier ya Kwanza nchini Uganda ambayo ni ya shirika la ndege la Uganda ' Uganda Airlines'View attachment 1025147View attachment 1025148View attachment 1025149
Yani marais wetu wanafanana tabia mpaka akili
Dreamliner ya kenya Airways ipo grounded dar airport wiki sasa .....east africa yote wafanana
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee imetulia kwa kiasi chake, natamani tufanye rebranding za kwetu hasa kwenye mkia japo iruke na bendera.Halafu hii haina pangaboi..Umeona?
Iluke???? Ndio kiswahili gani hicho sasa?Aisee imetulia kwa kiasi chake, natamani tufanye rebranding za kwetu hasa kwenye mkia japo iluke na bendera.
Nisaidie kufanya marekebisho.Iluke???? Ndio kiswahili gani hicho sasa?
Iluke - IRUKENisaidie kufanya marekebisho.
Duh..Na kuna zile zilizogongana kule Kenya, ambazo wanadai zilikuwa na matatizo ya engine..
Tayari.Iluke - IRUKE
Nenda kwenye post yako angalia chini yake kuna option ya "Edit". Click it then utapata uwanja wa kuedit hilo neno. Mimi siwezi maana sio acount yangu.
Bombardier ya Kwanza nchini Uganda ambayo ni ya shirika la ndege la Uganda ' Uganda Airlines'View attachment 1025147View attachment 1025148View attachment 1025149