PICHA: Biashara chini ya 4 milioni

Huyu jmaa atavuruga kila biashara ilyopo tz. Kwa sasa krosho ndyo imeshavrugwa, sasa hiv biashara ndogo ndogo. Mtaji chini ya 4 mi tunaanzia tuvibanda vya mpesa, vinyozi, na viduka vidogo vdgo vya mtaan ambavyo vilkuwa tyar vmelipishwa kodi na leseni za biashara wamechukua.sasa hv wakienda kukusanya kodi wataambiwa ni less than 4m
 
Kati ya watanzania milioni 54 wakipatikana wafanya biashara wadogo wadogo milioni 3*20,000= 60,000,000,000/= kwa mwaka ambazo TRA wanazikosa kwa sasa.

Athari yake ni kuporomoka kwa wafanya biashara wa kati.
bil 60 kwa mwaka hela kidogo sana mkuu
 
Ni lazima ziwe bidhaa zinazouzika kwa haraka,la sivyo uhifadhi huu unazifanya zichakae mapema sana.
Na bahati mbaya siku hizi, mfanyabiasharaakifungua duka asubuhi, kitu cha kwanza ni kutoa bidhaa nje mpaka njia ya watembea kwa miguu inakuwa finyu sana, wapita njia njia yao inawekwa bidhaa wanalazimika kupita kwenye njia ya magari. Lakini ndio hivyo riziki inatafutwa watoto wakupokee jioni.
Ila wapita njia tunaipata fresh, ile lami iliwekwa magari yapite, ndiyo tusahau kuyapitisha zikipangwa bidhaa, utaratibu mbovu mno mno...
 
Jee hivyo vitambulisho vilivyokusudiwa kupewa sisi ''wamachinga'' vikiisha na sisi wamachinga wengine hatujapata, jee vitaongezwa au vikiisha ndio vimeisha?
 
Ni lazima ziwe bidhaa zinazouzika kwa haraka,la sivyo uhifadhi huu unazifanya zichakae mapema sana.
Na bahati mbaya siku hizi, mfanyabiashara akifungua duka asubuhi, kitu cha kwanza ni kutoa bidhaa nje, mpaka njia ya watembea kwa miguu inakuwa finyu sana, barabara ya watembe kwa miguu inawekewa bidhaa, matokeo yake wanalazimika kupita kwenye njia ya magari. Lakini ndio hivyo riziki inatafutwa watoto wakupokee jioni.
Wamachinga ndiyo wanaopanga bidhaa kwenye milango ya maduka na njia za watembea kwa mguu
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom