Picha: Baadaye robot ambao ni atheists watakuwa wanaamini hivi

Picha: Baadaye robot ambao ni atheists watakuwa wanaamini hivi

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,041
Reaction score
3,089
Screenshot_20260310-114914_1.jpg
 
BInadamu wa kwanza alitizaliwa na nani?
Kwa utofauti wa vinasaba(DNA), na rangi uliopo kati ya binadamu, Je unadhani kuna binadamu wa kwanza kwa watu wote?

Kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wajapani, wachina, wafilipino n.k

Huyo binadamu wa kwanza alikuwa mweupe au mweusi?
 
Na robot ataanza kufikiri Binadamu ndo katengeneza ulimwengu wote😂
 
Back
Top Bottom