Hapana ni za asubuhi hiiHizi picha kama za usiku vile
Wanashangilia ushindi wao wa tia maji tia maji utaishia mahakamani soon
kule kunawekwa matokeo tu...................... in a serious note! LOLHizi picha huwezi kuzikuta MICHUZI
ATAZIWEKA JIONI SAAANA AU KESHO
Hahahaha Mkuu PJ HONGERENI sana kwa ushangiliaji huo nami natamani kama ningekuwepo hapo! lakn still naenjoy sanaSafi sana mkuu!
iNATIA HAMASA SANA!
Zilete zaidi!
PICHA ya kwanza na ya pili juu, shati jeusi mbele kabisa, unamfahamu pj?
Mjomba mmechokwa na waTz nyie sema 2015 inachelewa sana,imekuuma éh! chukua sumu ya Panya unywe ukafie mbali kabisa,muone kwanza ndio nyie mmetuletea Maisha magumu mpaka sasa,nna hasira sana na watu kama wewe,muone kwanza una akili za BATAWanashangilia ushindi wao wa tia maji tia maji utaishia mahakamani soon
Wanashangilia ushindi wao wa tia maji tia maji utaishia mahakamani soon[/QUOT Mpaka mfilisike magamba, Mwaka jana imewatoka bilioni 3, Igunga, mwaka huu Arumeru itakuwa imewatoka 10, ukija uchaguzi mdogo mwingine chama kitakuwa taabani. Ndiyo maana Mkama hakuonekana Meru.
Wanashangilia ushindi wao wa tia maji tia maji utaishia mahakamani soon
Jimii atakuwa kanielewa......ukiwa mwenyeji wa kipande hii lazima ujue hiyo....
Nareeee Losambooo......