Picha - Aliyemwua Mwangosi Pacificus Cleophase Simon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha - Aliyemwua Mwangosi Pacificus Cleophase Simon

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Oct 13, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Pacificus Cleophase Simon

  Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Pacificus Cleophase Simon mwenye namba G2573 ambaye anadaiwa kumuua Mwandishi wa Habari, Daudi Mwangosi katika kijiji cha Nyololo, Mufindi akiwa amekaa kwenye benchi muda mfupi kabla ya kula kiapo chake kwa Mlinzi wa Amani kabla hajafikishwa mahakamani.
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wataalamu wa kukuza picha tafadhali ili tumfahamu vizuri.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG]

  Ukiangalia image ya picha ya aliyelipua bomu na huyu kuna kila dalili ya kutotoa ushindani wa ubishi.

  Picha hii ilichukuliwa akiwa mahakamani Iringa kabla ya kula kiapo. Anaonekana ni mwenyewe aliyehusika siku ile.
   
 4. p

  pilau JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  wanaomleta mahakamani wanazuia sura yake kwa nini?
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  yah they look alike, hasa hyo miguu mirefu!!
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Sasa walipomsimamisha kizimbani siku ya kwanza,alivaa 'sendozi'ambazo zilikatika akiwa anakwepa kamera!!hiii picha sio siku alipowekwa kizimbani!hakuvaa raba nyeupe!sahihisho
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mmmhhh
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Namtamani sana!!nikiikumbuka picha ile ya marehemu natamani nimfanyie kila aina ya jambo baya linaloweza kumuumiza Mtu,at the highest level!!hastahili kupewa heshima yoyote muuaji huyu!!anastahili kupitia kwenye mikono yangu kabla hajafa baradhuli huyu!
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Wizi mtupu elimu yake darasa la 7? Mbona jona lake necta patupu
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Usijeshangaa ashabadilishwa na anayeletwa hapo ni mwingine kabisa!!!!!
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mahakamani amepelekwa mara kadhaa, hii picha ya mpya ambapo walifanikiwa kuipata alipopelekwa mahakamani mara ya mwisho wiki hii.
   
 12. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa pengine ajui kusoma wala kuandika
   
 13. k

  kapongoliso JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,136
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  FFU wengi nivihiyo, mtu aliyesoma hawezi kutekeleza amri za kishenzi kama kuua kwa namna Mwangosi alivyouawa. Ukikuta msomi yuko FFU huyo anakomolewa kwa sababu ya kiongozi wake ni inferior hivyo anamwonea wivu
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  kapongoliso kuna 'vijana wa wazee'ambao wanalindwa na RPC au OCD,huwa wakati mwingine wanahama nao toka mkoa mmoja kwenda mwingine,maana wanatekeleza matakwa yao,ukute huyo nae (Mhaya) ni kijana wa Kamuhanda,si anapata favor nyingi sana toka kwa mkuu sababu ya kumfanyia maloloso yake!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...