Hili suala la wakulima na wafugaji naona kama halichukuliwi kwa uzito unaostahili.......nimeshawahi kufika maeneo Fulani huko kilosa, kwa vile nilikuwa na camera napiga Picha za kazi zangu jamaa wakazani Mimi ni muandishi, wakaniita nikachukue habari za migogoro yao....hao walikuwa wafugaji,niliyoyasikia kutoka kwako nilikoma.......hapa natafuta wadau nirudi tena nikafanye documentary niilink na masuala ya climate change.