Picha ajari ya Mbeya iliyo ua 13

Picha ajari ya Mbeya iliyo ua 13

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,499
[h=3]UPDATES: Tukio kamili la ajali iliyo tokea eneo la Ntangano Ijombe Mbeya , kuanzia Ajali ilivyo tokea, uokoaji hadi Maiti na Majeruhi kufikishwa Hospitalini.[/h]

Watu Mbali mbali wakisaidia shughuri za uokoaji katika eneo hilo

Umati Mkubwa wa watu uliofika Eneo la Ajali kushuhudia pamoja na kusaidia kazi ya uokoaji

Baadhi ya watu wakiwa wameitanda Coaster hiyo kwa ajili ya kusaidia uokoaji




Baadhi ya ya maiti kama zinavyo onekana zikiwa chini wakati wanangojea shughuri nzima ya uokoaji












Gari Kubwa la Mizigo ambalo nalo Lilipinduka Mara baada ya ajali kutokea

Watu walio Fika katika hospitali ya Rufaa kutazama miili ya Marehemu

Miili ya Marehemu ikiwa tayari imewasili katika Hospitali ya Rufaa Mbeya

Polisi na watu mbali mbali pamoja na wauguzi wakiwa wamefika kusaidia kazi ya kushusha maiti hizo

Wafanyakazi wakiwa wanakimbiza majeruhi kupata huduma ya kwanza pamoja na Kupeleka Marehemu katika chumba cha Kuhifadhia Maiti.

Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog wa kwanza kushoto aliye valia shati Jeupe Joseph Mwaisango akiwa anatoka eneo la Tukio mara baada ya kumaliza kazi yake


Tukio zima Limefuatiliwa kwa ukaribu na Joseph Mwaisango ambae alipiga picha zote na Kurushwa moja kwa moja Hewani ya Fredy Tony Njeje wote wa Tone Media Live Group, Ambao ni wamiliki wa mtandao huu.
 
Hii Truck mali ya F.M Abri wa Iringa
magazeti yamepotosha eti FUSO wakati ni FAW kuna haja ya wahiriri kupimwa uwezo wao.
R.I.P marehemu wote.
Poleni majeruhi, poleni wafiwa.
Mwanga wa milele uwaangazie marehemu wote.
 
duuu jamani madereva mtatumaliza sie!!!
 
Sijui ni lini tuatakuwa na dignity na marehemu wetu.....miili kurundikwa hivi si heshima hata kidogo

SAM_0271.JPG
 
Mungu wetu atuhurumie, atuponye! Amen!
 
mwanga wa milele uwaangazie marehemu wote. P.K.A (pumzikeni Kwa Amani) NDUGU ZETU
 
Kwa nini ajari nyingi zinazo tokea mkoani Mbeya zinahusisha vifo vingi vya watu?
 
Back
Top Bottom