Picha: Ajali, Lori la mizigo na gari la kampuni ya Pepsi yagongana Bagamoyo

hatari mungu atuepushe anaonekana driver wa lory ndo mwenye makosa au utakuta alimuachia konda wake
 
Ingekuwa ajali ya gari la Bia hata idadi ya mashuhuda ingekuwa kubwa..wangenena kwa lugha siku hiyo...pole yao majeruhi
 
Mwanza likiwahi anguk lorry La bia mjini round about ilikua alfajir SAA 11 ikaombwa anayekunywa anywe ila chupa waziache,basi nasikia watu wakazikalia pembeni ya Barabara wakazipiga vzr zile beer zilizomwagika,swali likaja hawa mshuhuda waliamkia kwenye shughuli zao lkn ghafla wakakutana na ajali..vipi MTU unaweza amka kwenda kazini ukutanapo na pombe ya Bure unasahau kila kitu?maana wengine waliondoka kwa kushikiliwa!

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Kama hakuna aliyekufa ni jambo la kheri.
Hata kama kuna aliyekufa nayo ni kheri pia. Tunashauriwa kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Kumbuka kila nafsi itaonja mauti, na anayekufa anajaza lake kaburi, makaburi mengine yanatusubiri wote!
Emmanuel - Mungu pamoja nasi.
 
Mwanza likiwahi anguk lorry La bia mjini round about ilikua alfajir SAA 11 ikaombwa anayekunywa anywe ila chupa waziache,basi nasikia watu wakazikalia pembeni ya Barabara wakazipiga vzr zile beer zilizomwagika,swali likaja hawa mshuhuda waliamkia kwenye shughuli zao lkn ghafla wakakutana na ajali..vipi MTU unaweza amka kwenda kazini ukutanapo na pombe ya Bure unasahau kila kitu?maana wengine waliondoka kwa kushikiliwa!

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Hahaa siyo Mwanza tu hata Makambako liliwahi anguka kipindi kaibu na sikukuu ya Christmas watu hawakuweza kunyanyuka mbona
 
Back
Top Bottom