Vijana wote wa CCM wako kazini kutetea Tawi lao la ACT.
Teh teh teh
Msalimie mumeo mtei.
Mwambie aendelee na biashara yake ya usafirishaji tuh.
Siasa zege lishaingia maji sasa.
Vimada wake kama wwe mtakufa njaa mwaka huu.
Bavicha walikuwepo kuwasanifu wasalitiHao vijana ni bavicha dawa yao inachemka watakaa tu.
Teh teh teh
Mangi kakasirika kuskia chadema na m4c imekufa teh teh
Tafuteni biashara nyingine huko kwenu kilimanjaro.
Siasa na wachga wapi na wapi??
Shenzy type.
Nyinyi mnavyotafunwa na wale mapadre wahun wahun kama kina slaa basi mnadhani wote ni mapimb kama nyinyi.
Teh teh teh
Mtakufa.
Molemo accept the facts, we said mlituona wajinga......think tankers wa chadema mpaka ilipofika pale ni aina zito na prof Mkumbo. unless wewe sio frontier ndani ya chadema
Dealing with those people haikutakiwa wapayukaji kama akina Tundu Lissu, Godbless Lema na aina msigwa!! eti na za sugu!!
utaeneza chuki sana, utatumia nguvu nyingi, utatukana na kusonya, utauma meno....ila si kila unayemchukia wewe lazima achukiwe na wengine ndio siri na utashi ambao Mungu ametupa
Mbowe alitumia gharama kubwa mpaka kutunga hekaya za ajabu........ili zittto achukiwe ...lakini yako wapi?
wewe Molemo utaaandika sana habari za chuki; ila muda utakuonea aibu na kukutupa, uakimbia jukwaa
ukichukua siasa ni kama football game na timu yako imshindwa the best way ni kuangalia mmekosea wapi
Zitto kazaliwa 76 tu , ni mdogo mno na ana miaka mingi ya kuishi.....atasumbua tu, hata kama mtatumia gharama zote kumzimisha, ila ataamka tu
WIMBO WA MSALITI haulipi tena
Ninatamani sana, mbowe aseme....'zitto alienda kutoa siri hii na hii na hii kwa serikali, na CDM ikaathirika hivi na hivin na hivi'' hili hamuwezi kulisema wala kupima...............hatimaye kiasili wimbo wa usaliti unaanza kuchuja
November ACT itakuwa na wabunge wengi ( andika mahali) tena wengi kuliko chadema, kuliko nccr, kuliko cuf, etc.,ACT kitakuwa chama kikuu ch upinzani; chadema by then kitakufa tu...'maana hamna namna nyingine ya kukiokoa' kitakufa tu!
kwa nn? hamna mawazo mapya, hamna uongozi mpya, ni watu walewale, mawazo yale yale, wanafanya vile vile na kutegemea results tofauti???
Hivi kwa nini hata mara moja tukawa wakweli wa nafsi zetu kuwa Zitto alizushiwa yale kwa sababu ya mauongozi ndani ya chadema?
Hivi Lissu anajenga chama kweli??
Wimbo eti ni tawi la CCM....ni wa kujifariji tu..utachuja nao, andaa Lyrics za wimbo mwingine; utakosa utakaa kimya
Chama cha Act kilikuwa na mkutano, lakin kwa bahati mbaya au kwa kuzamilia mmetuwekea picha tano, ya kwanza mpaka ya tatu sio za leo, ya nne na ya tano ndo za leo hiv kama kweli mnataka kuingia kwenye siasa na sisi tuwa support ya nini kuweka picha za zamani mkachanganya na za leo.
Jaman wana jf wenzangu angalieni picha ya kwanza mpaka ya tatu kisha muangalie ya nne mpaka ya tano kama zinafanana.
My take fanyeni siasa za ushindani sio ushindani wa mitandaoni.
Teh teh teh
Bora nchi hii ibakie kuongoza ccm kuliko kuwapa wakatoliki nyinyi wa chadema.
Teh teh teh
Hata ukitukana haisaidii.
Tukana hadi upasuke.
Nchi hii haiwez kuongozwa na mapadre kama mchovu slaa hilo sahau.
Hao vijana ni bavicha dawa yao inachemka watakaa tu.
Teh teh teh
Bora nchi hii ibakie kuongoza ccm kuliko kuwapa wakatoliki nyinyi wa chadema.
Teh teh teh
Hata ukitukana haisaidii.
Tukana hadi upasuke.
Nchi hii haiwez kuongozwa na mapadre kama mchovu slaa hilo sahau.
Naona kivuli cha BAVICHA kinawatoa jamba jamba sana, subirini na bado pimbi nyie
Mkuu kwa lipi?kwa kutoa majawabu ya matatizo yanayoikumba nchi hii.Na kueneza UZALENDO?.Zitto ni Janga la Kitaifa
Molemo accept the facts, we said mlituona wajinga......think tankers wa chadema mpaka ilipofika pale ni aina zito na prof Mkumbo. unless wewe sio frontier ndani ya chadema
Dealing with those people haikutakiwa wapayukaji kama akina Tundu Lissu, Godbless Lema na aina msigwa!! eti na za sugu!!
utaeneza chuki sana, utatumia nguvu nyingi, utatukana na kusonya, utauma meno....ila si kila unayemchukia wewe lazima achukiwe na wengine ndio siri na utashi ambao Mungu ametupa
Mbowe alitumia gharama kubwa mpaka kutunga hekaya za ajabu........ili zittto achukiwe ...lakini yako wapi?
wewe Molemo utaaandika sana habari za chuki; ila muda utakuonea aibu na kukutupa, uakimbia jukwaa
ukichukua siasa ni kama football game na timu yako imshindwa the best way ni kuangalia mmekosea wapi
Zitto kazaliwa 76 tu , ni mdogo mno na ana miaka mingi ya kuishi.....atasumbua tu, hata kama mtatumia gharama zote kumzimisha, ila ataamka tu
WIMBO WA MSALITI haulipi tena
Ninatamani sana, mbowe aseme....'zitto alienda kutoa siri hii na hii na hii kwa serikali, na CDM ikaathirika hivi na hivin na hivi'' hili hamuwezi kulisema wala kupima...............hatimaye kiasili wimbo wa usaliti unaanza kuchuja
November ACT itakuwa na wabunge wengi ( andika mahali) tena wengi kuliko chadema, kuliko nccr, kuliko cuf, etc.,ACT kitakuwa chama kikuu ch upinzani; chadema by then kitakufa tu...'maana hamna namna nyingine ya kukiokoa' kitakufa tu!
kwa nn? hamna mawazo mapya, hamna uongozi mpya, ni watu walewale, mawazo yale yale, wanafanya vile vile na kutegemea results tofauti???
Hivi kwa nini hata mara moja tukawa wakweli wa nafsi zetu kuwa Zitto alizushiwa yale kwa sababu ya mauongozi ndani ya chadema?
Hivi Lissu anajenga chama kweli??
Wimbo eti ni tawi la CCM....ni wa kujifariji tu..utachuja nao, andaa Lyrics za wimbo mwingine; utakosa utakaa kimya
Damn!
Some of us are tired of this ACT-overload already.