PICHA 18: Diamond Platnumz na Team yake WCB walivyoziuza tiketi kwa mashabiki

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,761

Ni Dec 23, 2016 ambapo mkali Diamond Platnumz pamoja na Team yake nzima ya WCB walifika Mlimani City Mall kuziuza tiketi kwaajili ya show yao iitwayo Wasafi Beach Party itakayofanyika Dec 24, 2016 Jangwani Sea Breezy Dar es Salaam.

Diamond Platnumz alikuwa akiuza tiketi za VIP shilingi 100, 000/= huku Rayvanny akiuza tiketi za kawaida kwa shilingi 30,000/= na hizi ni baadhi ya picha kutoka Mlimani City Mall.


.Rayvanny akimuuzia tiketi shabiki alifika Mlimani City Mall


.


.


.


.


.


.


.


.


.Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam


.Team nzima ya XXL ya Clouds FM


.


.Harmonize


.Rich Mavoko


.Rayvanny


.(Kulia) Diamond Platnumz akiwa na Dj R J


.Queen Darling​
 
Kama Ruge kanunua hii show basi ahesabu maumivu kabisa. Muitikio unaonekana mdogo japo sijajua kwa kesho itakuaje. Huenda watu walikua busy na kazi.

Hata muonekano wa nyuso za team nzima pamoja na CEO mwenyewe siyo wa Furaha,huenda madude hayauziki kwa kiwango wanachokitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…