unataka kila kitu utafuniwe....!Sasa mkuu baada ya kumsearch nifanyaje?
Haimaanishi kila topic ya mwanzo ni nyepesi mkuuTopic za mwanzo mwanzo zinakutia kiwewe ukifika za mbele mbele huko si ndio utakimbia shule....unasoma umalize topic au uelewe? Read it kwa pace yako...try and try several times mpaka uweze...kumbuka kukata tamaa ni dhambi.
Msikilize ni moja ya professor wazuri wa physics anaweza kukuinspire na anavideo zake ambazo kafundisha sana physics kwangu mm he is the best aisee hutojuta kumsikilizaSasa mkuu baada ya kumsearch nifanyaje?
Na tayari ushamtisha!! Hahahaha physics nouma ukianza kukata tamaa mapema.duh....kama projectile ni ngumu bora utafute masomo mengine mapema.
Kuna madude mengine huko mbele utakutana nayo hayana hata uhusiano na maisha yako ya kila siku. Afadhali hiyo projectile.
πππ
NB: nakutisha tu dogo.....komaa hivyo hivyo kitaeleweka tu.
Wabongo bana, unasoma madude magumu namna hii alafu baadaye ukiisha wiva vizuri unagombea ubunge au Unapewa ukuu wa Wilaya badala ya kwenda kalakana au HosptaliHabari wanajamvi ??
Wanajamvi mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka jana(2016) . ufaulu wangu katika masomo ya sayansi ni mzuri hivyo ninamipango ya kwenda Advanced level comb PCB au PCM
Lakini tangu nilipo anza kusoma physics yaani nakata tamaa maana kuna ki subtopic kinaitwa PROJECTILE MOTION yaana kila nikifanya swali lake nakosa .please wanajamvi naombeni ushauri wenu katika somo hili .
Maana kubadilisha comb siwez sababu nilisoma TECHNICAL SCHOOL hivyo siwez soma comb za art wala CBG.
moja ya maproffesor niliokua nafuatilia sana lectures zake, mzee yupo lafu lafu lakini deep vibayaaaNaipenda physics kulikooooo ebu jaribu kucheki video YouTube za professor mmoja anaitwa Walter lewin halafu utakuja unipe mrejesho Fanya ivo kijana