MKANDAHARI JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 5,730 Reaction score 6,634 May 6, 2013 #61 ebana mi natumia photoshop 7 ila maujanja sina!! Nilijitahidi ila niliishia kwenye curves coz sikuziona kabisa!! Yaani mchele mchele tu nabaki kutamani tu!! Na mm nifanyaje mkuu? Nifundisheni wakuu!! :a s 20:
ebana mi natumia photoshop 7 ila maujanja sina!! Nilijitahidi ila niliishia kwenye curves coz sikuziona kabisa!! Yaani mchele mchele tu nabaki kutamani tu!! Na mm nifanyaje mkuu? Nifundisheni wakuu!! :a s 20: