Photoshop: Airtel SIM Package Mock-Up

Photoshop: Airtel SIM Package Mock-Up

hahaha kaka mimi ni freelance graphics designer, ila mara nyingi hufanya haya mambo for funny na sijawa serious kibiashara...
mostly nitapost chochote hapa ili kuinspire upcoming designers nao waone inawezekana...

new designer like me maana natamani sana.. na adobe 7 inanishinda mpaka basi..
 
new designer like me maana natamani sana.. na adobe 7 inanishinda mpaka basi..

pole pole utafika mkuu muhimu uwe na passion(shauku) ya kutaka kujua halafu uwe na jicho la tatu(fikiria nje ya boksi)...
Hizi packages za Adobe zisikupe shida sana unaweza kustick na ile uliyoimaster vizuri an still you can deliver...
Muhimu pitia sana tutorial za wenzetu wa mbele na kufanyia mazoezi mbona within short time tu utatisha...
 
poa mkuu watu8 kwa kunitia moyo ngoja niivalie njuga hii ya simu kadi nione how good i am..
 
Last edited by a moderator:
na mi najaribu bwana leh
View attachment 69816

hii simcard ya jf modal wangu ni dada yetu wa hapa hapa jf bibie fatma bawazir

-huu mtandao ceo wake e2themiza na kasema hauna vocha kila siku anaachia hole moja la net so its up to you

kama picha inaonekana ndogo iclick kuview kwa ukubwa

nice iPic mkuu unatisha..
 
Mie giza tupu kwenye haya madude!!!!
Naomba direction magwiji wa humu jamvini
 
Mie giza tupu kwenye haya madude!!!!
Naomba direction magwiji wa humu jamvini

pita kushoto utakuna na reception yupo C6 ukifika hapo atakujulisha huduma zote za humu ndani ila kama unatakakujua nokia na symbian OS cheki na chief-mkwawa na kuhusu hii miadobe na graphics mixers cheki na leh na kina C6 ni hayo tu ukiitaji udondozi cheki na mimi..
 
Last edited by a moderator:
leh na C6 wapi naweza pata 2torial ya haya madude kwa kuanzia na photoshop CS3
 
hahaha kaka mimi ni freelance graphics designer, ila mara nyingi hufanya haya mambo for funny na sijawa serious kibiashara...
mostly nitapost chochote hapa ili kuinspire upcoming designers nao waone inawezekana...

safi sana, nmeipenda mtn mockup yako
 
leh na C6 wapi naweza pata 2torial ya haya madude kwa kuanzia na photoshop CS3

kwanza lazima uwe mchunguzi, then google chochote unachotaka kujua kuhusu adobe ps, hata km hujui kufungua, we google shida yako utapata majibu, ukishindwa lete hapa utapata msaada
 
kwanza lazima uwe mchunguzi, then google chochote unachotaka kujua kuhusu adobe ps, hata km hujui kufungua, we google shida yako utapata majibu, ukishindwa lete hapa utapata msaada
pouwa kamanda ntajaribu
 
Mie nasubiri mgao wa matumizi ya image yake toka kwa Mwali.

Mjini hapa. I hop rafiki yake Kongosho hajaona hii

Kesi ipo mahakamani, natafuta lawyer
Kama utaniwakilisha njoo nyumbani tuongee.
Ukija tutakunywa chai. hahahaha
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kesi ipo mahakamani, natafuta lawyer
Kama utaniwakilisha njoo nyumbani tuongee.
Ukija tutakunywa chai. hahahaha

Only kama uko tayari kugawa hilo pato kati kwa kati
 
Only kama uko tayari kugawa hilo pato kati kwa kati

Material things don't mean much to me
Utachukua half, half ingine achukue Kongosho
Halafu nilikua nakutafuta sana kaka yangu.
Mbona hujaja kufanya vile ulisema kule kwetu?
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwa kweli kuna watu hapa ni wakali wa PS mpaka napata wivu. Mie nashauri tufungue tutorial threads za PS au niseme za Adobe kwa ujumla. I love Adobe. C6 na leh na watu8
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom