Young Master wakaribishe kina nurbert, NingaR, kadoda11 na wengineo ambao ni wapenzi wa haya mambo, tayari nimeona chief-mkwawa umetupia yako
kaka C6 umejuaje!?yani hapa nilikuwa nimekesha ofisini kwa ajili ya video editing...ile na log in JF nakutana na hii kitu.sio siri kwa hili leh anahahitaji pongezi.nina motion graphics video nimeifanya via AE,nikipata mda wa kutosha nitai-upload youtube na kuleta link yake hapa jamvini ili wadau mnishauri zaidi sababu naamini ktk hii field yetu kila siku tunajufunza vitu jipya.Young Master wakaribishe kina nurbert, NingaR, kadoda11 na wengineo ambao ni wapenzi wa haya mambo, tayari nimeona chief-mkwawa umetupia yako
mimi nimeshaitika kaka.naam mkuu...ngoja niwaite waje.
![]()
kwa atakayetaka psd, nitamtumia upon request
mpk wewe umekuja na yako, im about to quit my job