Photos that Changed the World | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Photos that Changed the World

Discussion in 'Entertainment' started by LazyDog, Sep 1, 2008.

 1. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Among other things, you'll find a photo of the youngest mother on record. Can you guess what that age is? ​  Photos that Changed the World
  .
   
 2. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Doug you real educated me!Am shocked with the starving boy and soldier,Napalm Girl,Burial of an unknown child and of course the youngest mother.
  I heard a few fairy tales in past about the Loch Ness Monster guess its time I venture more into this!
   
 3. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  kuna picha imesahauliwa hapo,Neil Armstrong steps on the lunar surface and utters these immortal words 'one small step for me,one big step for mankind'
   
 4. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  .....Mh!!!! Mzee some pictures zinatia simanzi...
   
 5. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2008
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hivi wadau mbona mtu mweusi bado anadharaurika? hizo picha nimecheki hapo sijaona mzungu omba-omba. Ila i like that of Migrant Mother
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Sitasita weusi tumejifikisha hapo sisi wenyewe. Hali ya weusi ni ngumu. Na ndivyo tulivyo.
  Mahali pengine tumejifikisha wenyewe hapo kwa kuchagua viongozi wabofu na kuwashngilia hata wakitufisadi.
  Hakuna aliyetudhalilisha sisi ndivyo tulivyo.
  Mzungu anapewa pesa ya kujikimu kila wiki kwa sababu hana kazi. Sisi tunagawa migodi yetu kwao bure huku benefits zikiwa kwa viongozi hao hao wa kisiasa.
  Tunalima mazao na bei inashushwa kila mwaka. Hata uwezi kufikia lengo la kununua teknologia ya kisasa. Wewe fikiri mwenyewe.
  Waafrika tumezoea kulalamika sana.
   
 7. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  [​IMG]


  [​IMG]
  Huyu ni mama akiwa na umri wa miaka mitano (5)
  (The same child on the first photo)
  [​IMG]  .
   

  Attached Files:

 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Daah, ulimwengu wa ajabu sana :(
   
 9. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mimba kapewa na mtoto mwenzie au mtu mzima? Huu ni ubakaji haki ya nani!
   
 10. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Shocking pictures...
   
 11. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Emmett was so handsome just look at what WHITE RACISTs did to him its real sad...

  Wakati mwingine kuna matukio yanatokea ili wanaobaki wajifunze na kuleta mabadiliko that is what i beleive...
   
 12. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2008
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ee Mungu epusha madhara zaidi kwa kizazi hiki na kijacho. Dunia imekwenda kombo. Kama ni binadamu wa kawaida damu inasisimka ukiangalia hizi picha.
   
 13. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2008
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Very touching , am sorry and by God's will one day they 'll overcome all sorrows.
   
Loading...