Adobe After Effect
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 144
- 75
Habari wadau wa jukwaa la picha.
Hii ni thread maalum kwa yeyote anayependa sanaa ya ubunifu wa picha za 3D. Picha ambazo zitafaa kuwa shared hapa ni zile tu zilizo buniwa ki-3D na members wa JF.
Malengo ya thread hii ni kuongeza ari na hamasa kwa mtu yoyote mwenye mapenzi ya kujifunza 3D design.
Picha ambazo zinakusudiwa ni majengo(3D architectural buildings), vyombo vya moto(gari, pikipiki nk), vifaa/vyombo vya majumbani,vifaa vya michezo, mavazi, maandishi (3D text), human/animal 3D figures, 3D creative art nk.
Hakikisha picha utakayo i-upload, uwe umeibuni wewe mwenyewe na uiwekee alama maalumu ya utambulisho wa ID unayo tumia hapa JF.
Zingatia, thread inahusiana na picha zilizo buniwa ki-3D tu.
Wadau wa jukwaa la tech mniwie radhi kwa kuileta thread hii hapa, nimefanya hivyo ili kila mwanaJF aweze kushiriki nasi. Kama mnavyojua jukwaa la tech ni kwa watu maalum na wanaingia tech kwa sababu maalum.
Moderator, Invisible tafadhali naomba usihamishe thread hii au kuiunganisha na thead zingine.karibuni sana
mimi naanza na hizi.
3D soccer ball textured with the tanzania flag

3D wine glasses

hizi sio picha zangu ni za member mwenzetu hapa JF anayefahamika kama Magembe R. Malima.nimeziweka ili kuchangamsha thread.

CC mshana jr Dreson4 Nyasiro Lukansola Nelson Richard wickerman Mwl.RCT Joe Nyandigira ndetichia kadoda11 Chief-Mkwawa na wengineo.