HIMLER
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 429
- 228
nina mashaka na huyo binti
Kwa nini KAGAME asiwe na mkewe kwenye hafla kama hizi ambazo wenzie wako na wake zao?
Hata mie ni baba nina binti yangu huu ni upendo wa baba kwa mwanae usiwe na shaka yeyote kama huna binti siwezi kukuelezea ukaelewa