nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Nimekuta wanaigeria wana discuss wanasema siyon tall ni long...
kwa uzuri tu ni mzuri,ila urefu loooh
..
kwa uzuri tu ni mzuri,ila urefu loooh
..
Hata kizuri kina kasoro! Wakubwa mnathani haka katoto kana kasoro gani?
The King.
Kwani mmekatazwa kwenda na mwanaasha??nina mashaka na huyo binti
Kwa nini KAGAME asiwe na mkewe kwenye hafla kama hizi ambazo wenzie wako na wake zao?
Mrefu sana...hadi Anaboa