PHOTOS: Kagame Daughter Shines at White House Dinner

PHOTOS: Kagame Daughter Shines at White House Dinner

..inanikumbusha "udei" na "kusei" wale watoto wa Saddam Hussein.

..ni kawaida ya Madikteta[Mobutu, Saddam, Mubarak, Gaddafi] kuwaweka watoto wao karibu na nafasi za madaraka.

cc MUKAMASIMBA, Tabby
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • ivan-kagame-paul-kagame-ange-kagame-images.jpg
    ivan-kagame-paul-kagame-ange-kagame-images.jpg
    76 KB · Views: 1,312
Afu hiyo ndio ilikuwa red carpet maana nimeona picha ya JK Obama na wake zao few hrs wakiwa hapo hapo...
 
..inanikumbusha "udei" na "kusei" wale watoto wa Saddam Hussein.

..ni kawaida ya Madikteta[Mobutu, Saddam, Mubarak, Gaddafi] kuwaweka watoto wao karibu na nafasi za madaraka.

cc MUKAMASIMBA, Tabby
JOKAKUU unapenda kuponda sana,kwani wewe huwezi kutoka na mtoto wako katikasherehe? ilimradi ni mtoto sharp and presentable,tatizo watu wengi wanawatoto vichaa ambao wanaweza kuwaaibisha katika dhifa kama zile,ahahahha
 
Tena kamzidi mbaaali...Itakuwa ngumu kupata partner wanayeendana...te te te...mfano huyu aolewe na mtu kama Joti...

Huyu ladba Asheem Thabit ndio saizi yake...lol...

Siyo Obama tu, kamzidi hata babake.
 
ubishi wa nini,si mpeleke posa tu ili gogoro letu na Kagame liishe!
 
M.k.w.e.r.e hapo lazima udenda ulimdondoka........labda awe hakuona.....
 
Hana lolote. Mwanaasha wetu hakwenda? Shavu dodo kama kitu cha kuliwa.
 
JOKAKUU unapenda kuponda sana,kwani wewe huwezi kutoka na mtoto wako katikasherehe? ilimradi ni mtoto sharp and presentable,tatizo watu wengi wanawatoto vichaa ambao wanaweza kuwaaibisha katika dhifa kama zile,ahahahha

..nani alikwambia "udei" na "kusei" hawakuwa smart?

..huyo jamaa yenu anatengeneza ka-ufalme fulani.

..kwanza hataachia madaraka muda wake utakapokwisha.

..wakati akiendelea madarakani atapachika mwanawe ktk uongozi.
 
Nyinyi mnaongea yote nawaza hv huyu akikunjwa atakuwa anakojoa kama mtoto.

The King.
 
Ange_Kagame_2014-1.jpgAnge-Kgame.jpgAnge-Kagame.jpegjeannette-kagame-wife-of-rwandan-president-paul-kagame.jpg
Ange Kagame it is the face, the height and the smile; born in 1989, Ange Kagame (she prefers to be called Kagame Ange) is the second child and only daughter of Rwanda's head of state – President Paul Kagame. Ange Kagame, is indeed a beautiful lady and combined with her height and complexion, she could easily pass for a supermodel and her mum is as beautiful too. Being the first daughter, Ange is actively involved in charity work and social welfare campaigns and has been photographed severally on official duties alongside her dad and her mum Jeannette Nyiramongi is not only sassy but composed and beautiful. Ange is single.
 
..nani alikwambia "udei" na "kusei" hawakuwa smart?

..huyo jamaa yenu anatengeneza ka-ufalme fulani.

..kwanza hataachia madaraka muda wake utakapokwisha.

..wakati akiendelea madarakani atapachika mwanawe ktk uongozi.

What is this? Umekuwa hater mpaka you don't make any sense anymore....Kagame hating and bogus accusations ndio mlichobakiza.
 
Hata kizuri kina kasoro! Wakubwa mnathani haka katoto kana kasoro gani?

The King.
 
Back
Top Bottom