Last sentinel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 286
- 117
Hapo ni 2018,typing error
Ni kweli Mimi nilinunua IR 2520 mwaka 2028 inadunda mpaka Leo.
Ni kweli Mimi nilinunua IR 2520 mwaka 2028 inadunda mpaka Leo.
Mjomba dunia unayoishi ni tofauti na hii ya kwetu iliyojaa majanga ya kila aina! Huko kwenu mwaka 2028 umeshapita kitambo! Hizi typing error wakati mwingine zinafurahisha sana 😄Ni kweli Mimi nilinunua IR 2520 mwaka 2028 inadunda mpaka Leo.
Mkuu nilimaanisha 2018 sorry sana😀😀😀😀Mjomba dunia unayoishi ni tofauti na hii ya kwetu iliyojaa majanga ya kila aina! Huko kwenu mwaka 2028 umeshapita kitambo! Hizi typing error wakati mwingine zinafurahisha sana 😄
Asante Mkuu 😀😀😀.Hapo ni 2018,typing error
SikupingiNunua hizo series za 20s hiyo ya 30 achana nayo
2525 na 2530 ni nzuri