Photo: What is happening to her?

Photo: What is happening to her?

Jamani, EMT Avatar imekuaje tena??? Rudisha ile ya mwanzo bwana! AshaDii njoo umwambie EMT arudishe avatar ya zamani. Tayari ana makosa mengi hajamaliza kuyaombea msamaha tena amebadili avatar bila kunishirikisha! :censored:

Hebu acha hizo wewe. BTW, yale maandamano tuliyofanya na akina sweetlady kwenda JF utawala naona yanaanza kuzaa matunda.

Hakuna kulala mpaka kieleweke. Sasa mabango tunayalekeza kwa Paw. PAW OUT!

images
 
Last edited by a moderator:

hahahaha, wewe unajitafutia matatizo tu, nilishakuona. Mi nimetoka kwa kujiuzulu, sio kwa vitisho vyenu vile. lol
 
hahahaha, wewe unajitafutia matatizo tu, nilishakuona. Mi nimetoka kwa kujiuzulu, sio kwa vitisho vyenu vile. lol

Aaaaaaa wapi! Labda kujiuzulu kutokana na shinikizo letu.

Mod mwingine akituletea gozi gozi tutamzukia huko huko.

Those Mods who make peaceful revolution impossible here at JF will make violent revolution inevitable. lol.
 
Yeah!! ana kitabu kinachoitwa Unanswered cry! kina maudhui mazuri..kimebase sana kwenye traditions (like female genital mutilation) zinazowa undermine women..
he wrote it nicely..

Nafikiri kimeandikwa na Osman Pius Conteh na siyo Abdulai Osman Conteh unless ni mtu mmoja.
 
Aaaaaaa wapi! Labda kujiuzulu kutokana na shinikizo letu.

Mod mwingine akituletea gozi gozi tutamzukia huko huko.

Those Mods who make peaceful revolution impossible here at JF will make violent revolution inevitable. lol.

This is open warfare kaka. Paw njoo unitwangie huyu muasi Ban ya wiki mbili na fimbo 20 juu. 10 akiingia Ban, 10 siku ya kutoka akamueneshe mkewe (Mwalimu J. K. Nyerere)
 
Last edited by a moderator:
This is open warfare kaka. Paw njoo unitwangie huyu muasi Ban ya wiki mbili na fimbo 20 juu. 10 akiingia Ban, 10 siku ya kutoka akamueneshe mkewe (Mwalimu J. K. Nyerere)

Halafu aanzishe na uzi kabisa kuelezea sababu za kunipa ban.
 
Anapigwa maji. Hadi raha mmh i wish ingekuwa mimi
 
Nafikiri kimeandikwa na Osman Pius Conteh na siyo Abdulai Osman Conteh unless ni mtu mmoja.

ndiyo mkuu! nimekicheki..author ni osman conteh..ni msenegal..
main character ni Olabisi...msichana wa miaka 14 who escape from circumsion..
mama yake anataka afanyiwe whle baba yake hataki!
mwishowe maamuzi yanatolewa na mahakama baada ya malumbano ya muda mrefu ndani ya mahakama..
those two sides..
upande mmoja unatetea kwa kueleza negative effects of F.G.M ...
Na upande mwingine unaeleza faida za hyo kitu...
kitabu kina matukio mengi yenye kufundisha na kuburudisha...with alot of knowlegde...
as so far naona west africa ina waandishi wazuri..compared to those from east africa!!
 
kwa kufuata maelekezo ya picha ...hivi mapenzi ni kitu gani maana huyo dada sijajua ni kama anafanyiwa oparation vile....
 
Back
Top Bottom