Mkuu mie nahitaji printer je hiyo model ya jamaa inafaa?
Ndugu Sexer, Printer sahihi kwa kazi yako ni hii L800
Ifahamu vizuri hii printer kupitia link hii |Epson Inkjet Photo L800 |
- Nikuuzie Epson CISS L800 kwa tsh 870'000
- Kwa mtaalamu yeyote wapicha lazima akushauri uchukue CISS Printer kama L800
- Kwa DSM utaletewa mahala ulipo bila cost ya ziada
- Kama upo mkoani utalipia zaidi tsh 10'000 ya kusafirishia kwa basi
- Ni mpya, boksi na nailoni utachana mwenyewe; Call 0784 496 856
![]()
Inakuwa na ink tank zake eti?
Nahitaji kwa ajili ya kusafishia picha na passport size katika kijiofisi cha uswahilini, je ni aina gani na model ipi inafaa kwa kazi
ninayo Epson ninauza 400000 tuwasiliane,Ila ni Epson R310