Epson T50 Printer inauzwa

lwa kalolo

Senior Member
Nov 24, 2014
159
73
Habari wangwana ok epson T50 printer inauzwa iko ktk hari nzuri sana imetumika miezi 4
Inasafisha pasport size ,4*6,5*7,A4 ,dvd and vcd ina mitungi ya nje rocation geita bei ni sh.500000. 0753 470 549 karibuni
 
printer ni nzuri ila tatizo ni rocation.
 
Mkuu mie nahitaji printer je hiyo model ya jamaa inafaa?
  • Nikuuzie Epson CISS L800 kwa tsh 870'000
  • Kwa mtaalamu yeyote wapicha lazama akushauri CISS Printer
  • Kwa DSM utaletewa mahala ulipo bila cost ya ziada
  • Kama upo mkoani utalipia zaidi tsh 10'000 ya kusafirishia
  • Ni mpya boksi na nailoni utachana mwenyewe
Ifahamu vizuri hii printer kupitia link hii |Epson Inkjet Photo L800 |
L800_550_x_310.png
 
Back
Top Bottom