Kwa wanaoweza kunisaidia ku-interpreter hii picha
View attachment 117110
i. Picha inamaanisha nini?
ii. Ilipigwa kipindi gani? Cha kampeni, baada ya kampeni au wakati mmiliki wa mjengo anajiunga au alipoachana na chama chetu?
iii. Mmiliki wa mjengo ni Mtanzania? ana maisha bora kama sisi wengine?
iv. Mpiga picha alidhamiria nini, Anatoa ujumbe gani kwa jamii?
v. Kitambaa/pazia la mlangoni liko sehemu sahihi hapo? Inaonyesha wamiliki wa hicho kitambaa wanafanana na jengo hilo au mmiliki ni kutoka kambi ya tofauti?
NAWASILISHA NATAKA HOJA TU, MATUSI HAPANA