Photo Entry kwa Shilingi 500/=

Photo Entry kwa Shilingi 500/=

daveposta

Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
52
Reaction score
8
PHOTO ENTRY KWA SHILINGI 500/= TSHS KWA PICHA
Tunafanya photo entry kwa wote watakaohitaji huduma yetu, tutamaliza ndani ya dakika 10.

VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO NI
  1. picha za wanafunzi wako ambazo umezipanga kama mpangilio wa majina ya wanafunzi wako katika entry formyako kwa kuandikwa majina yao
  2. entry form iliyojazwa majina

KAZI IKIMALIZIKA UTAPATA VITU VIFUATAVYO
  1. picha ambazo zimeshabadilishwa na kuwa katika vipimo vya NECTA (132 x 185 pxl, less or equal to 4kb) ambazo tunakuwa tumesha zirename tayari: kwa mfano: IMG_1877 na kuwa S3981-0001-AISHA NASSORO
  2. file la excell ambalo utaenda kuprint ili upate hard copy ambazo wanafunzi watahakiki kama picha na jina yao kama yako sahihi kwa kuweka saini zao
UNACHOTAKIWA KUFANYA
  1. zip/unrar picha zako pamoja na registration form uliyoijaza na unitumia kwa kupitia E-mail yangu hapo chini
  2. nnitashughurikia ndani ya saa moja na nitakutumia nusu na ukimaliza malipo nitakutumia zilizobakia
  3. kumbuka ni shilingi 500/= za kitanzania
NB: Kama unataka tubadilishe bila kuzirename. gharama yake itakuwa Tsh. 250 kwa picha (hapa hatutaitaji entri form yako)


KWA MWASILIANO
barua pepe: daudikatyoki@yahoo.com , daudikatyoki@gmail.com
namba ya simu: 0757978232, 0718426032
 

Attachments

  • 4.PNG
    4.PNG
    41.7 KB · Views: 176
  • 3.PNG
    3.PNG
    48.7 KB · Views: 177
  • matangazo pbl.PNG
    matangazo pbl.PNG
    29.3 KB · Views: 178
  • 5.PNG
    5.PNG
    37.4 KB · Views: 174
Tunapatikana Dar Es Salaam, lakini Huduma yetu itakufikia popote Ulipo. Asante
 
Back
Top Bottom